Mahakama yaamuru Cyprian Musiba kulipa faini ya Tsh. bilioni 6 kwa kumchafua Bernard Membe

Mahakama yaamuru Cyprian Musiba kulipa faini ya Tsh. bilioni 6 kwa kumchafua Bernard Membe

Nchi TAMUU hii[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
 
Sasa Imethibitika ya kuwa Mahakama Kuu ya Tanzania Ni Huru kwa asilimia zote

From now onwards no one should have any reason to doubt or complaign against any ruling arising from the same Court!

Naipenda sana Nchi yangu
Naipenda sana Serikali yangu

Awaiting for the Grand Finale!
 
Musiba ajipange pale kimboka alipe hela za wanaume..si aliona raha kutukana watu.
 
Mahakama kuu ya Tanzania imetoa hukumu ya kesi ya kuchafuliwa jina iliyokuwa ikimkabili mkurugenzi mkuu wa gazeti la Tanzanite na mwanaharakati huru, ndugu Musiba dhidi ya
IMG-20211028-WA0132.jpg
 
Wanaccm tupo tutamchangia
 

Attachments

  • VID-20211028-WA0012.mp4
    102.2 KB
Back
Top Bottom