Mahakama yaamuru Dereva wa "Ndugu abiria" kulipwa Tsh Milioni 150

Mahakama yaamuru Dereva wa "Ndugu abiria" kulipwa Tsh Milioni 150

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Ndugu abiria.jpg

Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni leo Agosti 10, 2022 imeiamuru Kampuni ya Bima ya Dexter Insurance kumlipa dereva wa Kampuni ya mabasi ya New Force, Waubani Linyama maarufu kama ‘Ndugu abiria’ fidia ya Shilingi milioni 150 kwa kosa la kutumia picha yake kwenye mitandao ya kijamii kujipatia faida au biashara bila idhini yake.
 
Duuuh,utajiri wa fasta huo umekuja [emoji2]
Utajiri wake alikuwa nao, alizaliwa nao. Sema tu hakuwa amejua namna ya ku-unbox the seal. Hapo ulimwengu (^shujaa^) umemsaidia japo kidogo kupata utambuzi wa mruko maridhawa wa mafanikio.

Kila mtu amepewa siri hiyo, na anapaswa ku-unlock potentials zake.

Wengine usiku kucha, mchana kutwa, wanahangaika kuwinda, kuiga, kufukuzia, na kufuatisha potentials za wenzao, wanasahau kupanda, kupalilia na kustawisha zao wenyewe, ndiyo maana wanafeli BIG TIME deile.
 
Utajiri wake alikuwa nao, alizaliwa nao. Sema tu hakuwa amejua namna ya ku-unbox the seal. Hapo ulimwengu (^shujaa^) umemsaidia japo kidogo kupata utambuzi wa mruko maridhawa wa mafanikio.

Kila mtu amepewa siri hiyo, na anapaswa ku-unlock potentials zake.

Wengine usiku kucha, mchana kutwa, wanahangaika kuiga, kufukuzia, na kufuatisha potentials za wenzao, wanasahau kupanda, kupalilia na kustawisha zao wenyewe, ndiyo maana wanafeli BIG TIME deile.

Somo zuri
 
Back
Top Bottom