Mahakama yaamuru Dereva wa "Ndugu abiria" kulipwa Tsh Milioni 150

Mahakama yaamuru Dereva wa "Ndugu abiria" kulipwa Tsh Milioni 150

Kupata hela sometime sio shida ila sasa kuifanya hela izalishe hela nyingine ndipo palipo pagumu tena pagumu sana . Si ajabu ndani ya miezi sita ndugu abiria akawa hana hata mia!!
Ndugu abiria nimerudi tena baada ya kumaliza ile 150 Kwa speed ya kushuka kitonga!
 
Mpaka kushinda iyo kesi sio kazi rahisi kama muonavyo kuna watu nyuma yake wametumia akili zao kushinda iyo kesi,hapo mawakili wakija kutoa gharama zao za mizunguko ya hapa na pale,kisha sasa ndio waje kwenye mgawanyo......Jamaa anaweza bakiwa hata na 40,mia na kumi nzima zikawa gharama za kuendeshea kesi
 
Back
Top Bottom