Mahakama yaamuru Dereva wa "Ndugu abiria" kulipwa Tsh Milioni 150

Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni leo Agosti 10, 2022 imeiamuru Kampuni ya Bima ya Dexter Insurance kumlipa dereva wa Kampuni ya mabasi ya New Force, Waubani Linyama maarufu kama ‘Ndugu abiria’ fidia ya Shilingi milioni 150 kwa kosa la kutumia picha yake kwenye mitandao ya kijamii kujipatia faida au biashara bila idhini yake.
Anapata zhongtong lake jipya maana asilimia 30 ya kuanzia tayari anayo
 
Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni leo Agosti 10, 2022 imeiamuru Kampuni ya Bima ya Dexter Insurance kumlipa dereva wa Kampuni ya mabasi ya New Force, Waubani Linyama maarufu kama ‘Ndugu abiria’ fidia ya Shilingi milioni 150 kwa kosa la kutumia picha yake kwenye mitandao ya kijamii kujipatia faida au biashara bila idhini yake.
Kweli Mungu ana njia nyingi zakumpa mtu ridhiki, jamaa kashapata mtaji hapo kimasihara tu
 
Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni leo Agosti 10, 2022 imeiamuru Kampuni ya Bima ya Dexter Insurance kumlipa dereva wa Kampuni ya mabasi ya New Force, Waubani Linyama maarufu kama ‘Ndugu abiria’ fidia ya Shilingi milioni 150 kwa kosa la kutumia picha yake kwenye mitandao ya kijamii kujipatia faida au biashara bila idhini yake.

Mbona anafanana na aliewahi kuwa mbunge wa mbeya mjini
 
Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni leo Agosti 10, 2022 imeiamuru Kampuni ya Bima ya Dexter Insurance kumlipa dereva wa Kampuni ya mabasi ya New Force, Waubani Linyama maarufu kama ‘Ndugu abiria’ fidia ya Shilingi milioni 150 kwa kosa la kutumia picha yake kwenye mitandao ya kijamii kujipatia faida au biashara bila idhini yake.
Hii ndilo zali la mentali aliloimba Prof. Jay.
 
Ndugu abiria bila mtu kujitokeza kunifanyia massage nawaachia msamvu
 
Mpaka kushinda iyo kesi sio kazi rahisi kama muonavyo kuna watu nyuma yake wametumia akili zao kushinda iyo kesi,hapo mawakili wakija kutoa gharama zao za mizunguko ya hapa na pale,kisha sasa ndio waje kwenye mgawanyo......Jamaa anaweza bakiwa hata na 40,mia na kumi nzima zikawa gharama za kuendeshea kesi
Kwamba kabla ya hapo hakuna makubaliano?

Kesi za madai huwa zina makubaliano kabla ya kesi.

Tukishinda nakupa % kadhaa.
 
Mpaka kushinda iyo kesi sio kazi rahisi kama muonavyo kuna watu nyuma yake wametumia akili zao kushinda iyo kesi,hapo mawakili wakija kutoa gharama zao za mizunguko ya hapa na pale,kisha sasa ndio waje kwenye mgawanyo......Jamaa anaweza bakiwa hata na 40,mia na kumi nzima zikawa gharama za kuendeshea kesi

Hapana gharama za kesi analipa aliyeshindwa kesi baada ya mahakama kufanya taxation. Labda mahakama iamue kila pande ishughulikie gharama za kesi.

Huwezi kuchukua damages Kama gharama za kesi. Gharama za kesi zipo documented kwenye regulations za mawakili hazotoki hewani.
 
Na aliyekuwa anapiga picha hakujua kabisa kuwa zile sekunde tano za kupiga picha anatengeneza milioni 150. Haya maisha bwana!
 
Back
Top Bottom