JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Utajiri wake alikuwa nao, alizaliwa nao. Sema tu hakuwa amejua namna ya ku-unbox the seal. Hapo ulimwengu (^shujaa^) umemsaidia japo kidogo kupata utambuzi wa mruko maridhawa wa mafanikio.Duuuh,utajiri wa fasta huo umekuja [emoji2]
Tena aliomba pesa ndogo sana, alitakiwa adai bilioni 1.5Duuuh,utajiri wa fasta huo umekuja [emoji2]
Utajiri wake alikuwa nao, alizaliwa nao. Sema tu hakuwa amejua namna ya ku-unbox the seal. Hapo ulimwengu (^shujaa^) umemsaidia japo kidogo kupata utambuzi wa mruko maridhawa wa mafanikio.
Kila mtu amepewa siri hiyo, na anapaswa ku-unlock potentials zake.
Wengine usiku kucha, mchana kutwa, wanahangaika kuiga, kufukuzia, na kufuatisha potentials za wenzao, wanasahau kupanda, kupalilia na kustawisha zao wenyewe, ndiyo maana wanafeli BIG TIME deile.