Mahakama yaamuru Dereva wa "Ndugu abiria" kulipwa Tsh Milioni 150

Anunue basi aliingize kwenye kampuni, ila sasa nyumba ndogo barabara anayopita zitamsumbua kwa matarajio.
 
Milioni 150 ni hela ndogo sana kwenye matumizi japo ni nyingi kwa kuitamka. Nimependa ujasiri wake wa kupigania haki yake, ni mwanzo mzuri wa kuwa na kizazi cha watu wachache wanaojitambua.
 
Milioni 150 ni hela ndogo sana kwenye matumizi japo ni nyingi kwa kuitamka. Nimependa ujasiri wake wa kupigania haki yake, ni mwanzo mzuri wa kuwa na kizazi cha watu wachache wanaojitambua.
Picha ile ilimpa kwanza mshtuko, pili hofu na madaktari wanethibitisha kuwepo kwa woga kutokana na fedheha hivyo kuhesabika kama udhalilishaji na kuchafua hadhi yake, mahakama inaombwa kutoa adhabu kali mnoo kwa mshitakiwa ili iwe onyo kwake na wote wenye tabia kama hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…