Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 5,807
- 17,416
Kwa wanaokumbuka kabla ya 2015 hivi. Hii kampuni ilitamba sana bongo na kuwezesha malipo ya Serikali, wakuitwa MaxMalipo...
Story yao kwa sasa inasikitisha kidogo, baada ya bank ya Stanbic kuiburuza mahakamani wakidai walipwe malimbikizo ya deni la Bil 12.
Mahakamani walijitetea kwamba baada ya Serikali kuwa na mfumo wao wa malipo na kupoteza tenda zote Serikalini ikiwepo Tanesco, BRT nk.. wamekwama.
Hata hivo mahakama ilitupilia mbal madai yao, kwa kuwa bado waliendelea kufanya biashara na kukopa zaid mil 164 kwa ajili ya kununua POS na kwamba kampuni hiyo ina Matawi nchi jirani.
Mahakama imeamuru Mali iliyomo Mbezi Beach ipigwe mnada miez mitatu kutoka sasa wakishindwa kulipa deni hilo.
Kinachovutia kwenye case hii ni namna mtu unaweza anzisha kampuni na ikajiendesha kwa kutegemea serikali pekee..... yani serikal ya Tanzania kama mteja muhim na unaomba loans ya Dola zaid ya mil 5.
Chanzo: Citizen 24/04/2023.
Poleni sana wakuu.