Mahakama yaamuru Mali za Maxcom Afrika zipigwe mnada

Mahakama yaamuru Mali za Maxcom Afrika zipigwe mnada

Kwa waliofanya tenda na serikali wanajua sana machungu ya kufuatilia malipo yako,

Hasa Kama ulifanya biashara na utawala uliopita, na utawala uliopo una nongwa na utawala uliopita.

Yaani kila tenda wanajifanya ilikua ya kipigaji, yote TU wakutaftie sababu wasikulipe na benki unadaiwa mkopo[emoji3525]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nimekaribia kunywa sumu kipindi fulani,wacha tu!!
 
Kwasisi ambao ndio kwanza tunapambana kukuza biasharq za kampuni zetu hiz hapa tunalo la kujifunza.All in all biashara ni vita

Ukipigw huku usikae kulia lia tu..angalia namna nyingine ya kujichomoa
 
Kwasisi ambao ndio kwanza tunapambana kukuza biasharq za kampuni zetu hiz hapa tunalo la kujifunza.All in all biashara ni vita

Ukipigw huku usikae kulia lia tu..angalia namna nyingine ya kujichomoa
Hapa Hakim Principal ndipo inahitajika kutumika(joke nikiwa na uchungu mtanzania kuwa katika wakati mgumu wakati njia ya kumuwezesha ipo )
====
Siingilii uhuru wa mahakama lakini kitendo cha kusema Wana Biashara nchi jirani walipe kimenistua kidogo....!!!
 
Mbona Wajenzi wa Barabara wanalipwa
Wanalipwa ila kwa taabu sana ...anko wangu amefariki iv karibuni kwa mshtuko wa moyo chanzo ni madeni kumzidia huku serikali nayo kugoma kumlipa licha ya kuwadai millions of shillings
 
Wanalipwa ila kwa taabu sana ...anko wangu amefariki iv karibuni kwa mshtuko wa moyo chanzo ni madeni kumzidia huku serikali nayo kugoma kumlipa licha ya kuwadai millions of shillings
Kwanini hakukamata mali zao ie magari, ndege?
 
Hamna biashara ngumu kama kufanya biashara na Serikali. Ukipata tenda Serikalini usishangilie, kilio chake Ni suala la muda tu.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sio tu tenda , yani hata usifungue biashara kisa serikali imeweka miundo mbinu , kama stend, masoko n.k , yaan mda wowote unalia na kusaga meno,
 
Madeal ya SERIKSLI ndiyo mazuri kuiba hata hivyo hawakutaka tu kuliba deni kwa wakati walikuwa wanazowa tu na wakiziba tu PESA za MaxMalipo UNAJUWA wabongo
 
Kinachovutia kwenye case hii ni namna mtu unaweza anzisha kampuni na ikajiendesha kwa kutegemea serikali pekee..... yani serikal ya Tanzania kama mteja muhim na unaomba loans ya Dola zaid ya mil 5.[emoji2827]
 
Kwa waliofanya tenda na Serikali wanajua sana machungu ya kufuatilia malipo yako,

Hasa Kama ulifanya biashara na utawala uliopita na utawala uliopo unanongwa na utawala uliopita.

Yaani kila tenda wanajifanya ilikuwa ya kipigaji, yote TU wakutaftie sababu wasikulipe na benki unadaiwa mkopo.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nina ndugu yangu analia hadi leo shauri ya kufanya kazi na serikali.Kimsingi sio kwamba serikali inashida ya kutapeli watu au haina uwezo wa kukulipa.Shida ni pale kila kitu serikalini kinakwenda kwa kuzingatia milolongo ya kiitifaki.Serikalini hata ukiidai laki 2 lazima habari hii ipitie hatua zote ikibidi hata bunge ili hiyo laki mbili iingizwe kwenye budget.
Ni bora kufanya biashara na kampuni binafsi kuliko serikali
 
Hamna biashara ngumu kama kufanya biashara na Serikali. Ukipata tenda Serikalini usishangilie, kilio chake Ni suala la muda tu.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kuna mhindi bilionea hapo Kenya Niliona interview yake akisema rule no. 1 ya kwake Ni kutofanya biashara na serikali.
 
Kinachovutia kwenye case hii ni namna mtu unaweza anzisha kampuni na ikajiendesha kwa kutegemea serikali pekee..... yani serikal ya Tanzania kama mteja muhim na unaomba loans ya Dola zaid ya mil 5.[emoji2827]
Kabisa
 
Back
Top Bottom