Mahakama yaamuru Mkandarasi wa SGR (Yapi Merkezi) kuilipa Puma Energy Tsh. Bilioni 30

Mahakama yaamuru Mkandarasi wa SGR (Yapi Merkezi) kuilipa Puma Energy Tsh. Bilioni 30

Wakimbie mara ngapi? Wameshalala mbele mradi umesimama
 
Nafikiri suppliers wengine na subcontractors wanaoidai hiyo kampuni wafuate nyayo za Puma.

Karibia wote wanaidai hiyo kampuni ni kama Sahara media ya Diallo tu.
 
Reli ya sgr apewe dp world kabla mambo hayajaharibika zaidi
 
Back
Top Bottom