Kwa mfano watoto wa Mengi wangekuwa matajiri kama Mo dewji au Bakhressa wangeanza kusumbuana na Mjane kweli?Kama Mzee wenu ameenda umri akiingiza nyumba ndogo tu mjiandae kisaikolojia maana mtifuano utakuwa kwenye mirathi.
Labda Mzee machale imcheze agawe kabla hajafa, nayo sio rahisi haswa ukikuta tayari ana Watoto wengi na wakubwa.
Shida inakua ukishakua mtu mzima kuna vitu unakua unashindwa kufanya sababu ya uzee yakiwemo magonjwa nayo hayakuachi.Jack ana watu wazito nyuma yake. Yaani hata kama mtu haujasoma sheria unaona kabisa hapa kuna uwalakini.
Hivi kwa nini Wachaga wanapenda kugombania Mali ambazo hata haziwahusu!? Maana kipindi Marehemu Yuko hai huwaoni,ila Marehemu akisha kufa tu hadi wababa wadogo wasiyojulikana watajitokeza na hata kufikia hatua ya kufungua mirathi ya Marehemu Baba yenu bila hata nyinyi Watoto wa Marehemu kujuwa kinachoendelea nyuma yenu! Dunia haada Ulimwengu Shujaa nakuambia!!Ninapenda jinsi Jack anavyowatoa ulimi nje hao jamaa.
Asikubali wakamalizane nje ya mahakama na awe makini na nyendo zake tu.
Asingekuwa maarufu pengine kitambo angeshazimwa kama taa.
Kuogeshwa si unaajiri nurse tu. Ulaya matajiri wanaajiri nurse tu. Kuliko kuoa gold digger.Shida inakua ukishakua mtu mzima kuna vitu unakua unashindwa kufanya sababu ya uzee yakiwemo magonjwa nayo hayakuachi.
Utahitaji labda kuogeshwa au sijui kufidiwa etc ambavyo watoto wako hawawezi kufanya. Kidemu ulicho nacho kinakukazia kua kama hutaki kukakoa katasepa. Na we ndo hivyo ingawa kifedha uko vizuri lakini ki afya tia maji tia maji.
Haziwahusu kivipi na wameshiriki pamoja kuzichuma? Hao watoto si ndo walikua wakijazia wino kalamu za biki wakiwa wadogo wenzao wanacheza? Unasemaje haziwahusu? Ben hahusiki na amechangia katika utendaji?Hivi kwa nini Wachaga wanapenda kugombania Mali ambazo hata haziwahusu!? Maana kipindi Marehemu Yuko hai huwaoni,ila Marehemu akisha kufa tu hadi wababa wadogo wasiyojulikana watajitokeza na hata kufikia hatua ya kufungua mirathi ya Marehemu Baba yenu bila hata nyinyi Watoto wa Marehemu kujuwa kinachoendelea nyuma yenu! Dunia haada Ulimwengu Shujaa nakuambia!!
Pia nasikia hawana watoto wala wenza!Halafu wana miaka zaidi ya 50
Huyo huyo nurse,Kuogeshwa si unaajiri nurse tu. Ulaya matajiri wanaajiri nurse tu. Kuliko kuoa gold digger.
Kama yule aliyekua nurse wa bro Pascal alivyopataga ajali,mwisho ndiyo kawa wife na Mtoto juu kamzalia!!Huyo huyo nurse,
Anakutega tega mwisho wa siku unajaa tu, unaingia King unaoa.
Nop nurse anakuwa professionnel .Chuoni wanasoma wanajua kutongonzwa kupo. Hivyo wanajua jinsi ya kureact kiprofession bila kumbugudhi mteja (patient)Client.Huyo huyo nurse,
Anakutega tega mwisho wa siku unajaa tu, unaingia King unaoa.
Umeandika kwa busara sana. Una undugu na Hayati Nyerere?Hili la kukaa nje ya mahakama na kukubaliana ndilo la msingi.
Huko nyuma nilikuwa nawaambia Watu hili jambo si rahisi wanavyofikiria. Wengi walikuwa wanachangia kwa mihemko, kwamba Jack hakuchuma mali kwa hiyo akae kando Watoto wake watatunzwa na Watoto wakubwa wa Mengi.
1. Wanachosahau ni kuwa Jack ni mke halali wa Mengi (ndiyo maana katika mashauri yote hakuna mahali limepingwa)
2. Jack amezaa na Mengi watoto wawili. Watoto ambao ni haki yao kurithi mali za Baba yao ambaye ni Mzee Mengi
3. Na kwa kuwa Watoto wa Jack ni Watoto halali wa Mzee Mengi na hawajafikisha umri wa miaka 18 mnaweza kujua nani anastahili kusimamia haki zao.
Wosia uliodaiwa kuandikwa na Mengi ulitupiliwa mbali na mahakama. Kwa hiyo hapa mambo yanaanza upya ndiyo maana wakili wa Jack kaanza na kuhakikisha mali zote ambazo zilikuwa hazijagawanywa zinarudishwa pamoja halafu kesi ya mgao ianze upya. Hapa hata kama humpendi lakini huyo dada katumia mawakili wazuri.
Naona hapo la msingi wakae pamoja kwa kushirikiana na Wazee wenye busara na mgao ufanyike tu. Hata kama Jaclk hatapata kama ilivyosemwa kwenye ule wosia uliokataliwa, lakini obvious ataondoka na mgao mkubwa si haba.
Halafu sisi maskini humu JF acheni habari ya kuzungumzia kuhusu kuuliwa Jack.
Mzee Mengi hakuwa na historia ya aina hiyo. Wakati anamtongoza na kumuoa Jack, alifanya hayo yote akiwa na akili timamu na Mtu mzima. Tusitie kinyongo kwa mali zisizotuhusu.
Hao kawaida fuatilia watu wa Kilimanjaro wengi wanaoa ukubwani ,Nina jamaa yangu mtu mzima miaka 36 hana mtoto wala hajaoaPia nasikia hawana watoto wala wenza!
Hapana ilikuwa trap unajua mzee na jack wanekutana wapi? Mzee aliwekewa mitego kibao huyo jack alishawai kukutana na mzee nje mara kibao huko south Africa mara marekani, ila finally walipokutana Dubai mzee aliingia king akamtongoza jack akakimbili ndoa ndo hapoKuogeshwa si unaajiri nurse tu. Ulaya matajiri wanaajiri nurse tu. Kuliko kuoa gold digger.
Alikuwa na ndoto zake. Ndo maana hata alimforce Mengi aombe talaka kwa mkewe.Hapana ilikuwa trap unajua mzee na jack wanekutana wapi? Mzee aliwekewa mitego kibao huyo jack alishawai kukutana na mzee nje mara kibao huko south Africa mara marekani, ila finally walipokutana Dubai mzee aliingia king akamtongoza jack akakimbili ndoa ndo hapo
Mzee katengwa sio bure kwa kweli.Alikuwa na ndoto zake. Ndo maana hata alimforce Mengi aombe talaka kwa mkewe.