Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

Na watajuaje kama hiyo hali inatokana na yeye mwenyewe kujiingiza vitu au vidole vyake? Sheria inakataza watu wawili au zaidi kushirikiana kuingiliana kinyume cha maumbile. Sasa watamfungaje mtu ambaye kwa starehe zake mwenyewe anajiingiza vitu/ vidole katika sehemu mbali mbali za mwili wake? Au alifanyiwa vitendo hivyo kwa kulazimishwa? Huu ni uonevu uliopitiliza.

Amandla...
 
ni atari sana yani ukikuta mwanamke anatetea hawa taka jua kabisa hilo ni changudoa lililo komaa pia linaingiliwa kinyume na maumbile bila kusahau limetoa mimba nyingi sana yani lina roho ya kishetani ndani yake kwani hata mnyama kamshinda ustarabu
Halafu sometimes yanazurura Bar na mtoto,likiona mwanaume unasikia mwambie uncle akununulie chips kwanin mtoto na yeye asiwe changu au shoga
 
Shoga haathiri tozo wala kodi yangu na wala sijawahi kusikia kuwa Viongozi wa Chama cha Mashoga wamepora matrilioni ya fedha zetu za makusanyo ya kodi na tozo

Ila kila siku utasikia CCM imepora hichi imefungua akaunti China kuficha pesa za uporaji.
Sawa shoga tumekusikia, ila tukikudaka lazima useme PAUSE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…