figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
KISUTU: Mahakama imeifuta kesi ya madai ya matunzo ya mtoto iliyofunguliwa na Hamisa Mobeto dhidi ya mwanamuziki Diamond Platinumz baada ya wawili hao kupatana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naskia mtoto si wa Diamond, ni wa Joseph Kusaga, Dai mwakilishi tu![emoji12][emoji125]
MalliaWatu wanamchukia sana huyu kaka ila siku akitangulia mbele za haki kama kanumba utawajua binadam wa tanzania tulivyo wanafki, utawasikia diamond kaondoka na bongofleva wakati alipokuwa hai walikuwa wanamchukia.. Looool
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna uwezekano maana sasa ivi jamaa tunamjua km Balozi/ mwakilishi tuNaskia mtoto si wa Diamond, ni wa Joseph Kusaga, Dai mwakilishi tu![emoji12][emoji125]
HahahahaNaskia mtoto si wa Diamond, ni wa Joseph Kusaga, Dai mwakilishi tu![emoji12][emoji125]
Jamaa anaboa sana na MIDRAMA yake ya NGONO. Ashajiona amekuwa SHUJAA sana wa MAISHAWatu wanamchukia sana huyu kaka ila siku akitangulia mbele za haki kama kanumba utawajua binadam wa tanzania tulivyo wanafki, utawasikia diamond kaondoka na bongofleva wakati alipokuwa hai walikuwa wanamchukia.. Looool

Walahi ni Jf tuJF siondoki.
Hata mimi nimesoma hivyo kwa da'Mange hide my ID please.Naskia mtoto si wa Diamond, ni wa Joseph Kusaga, Dai mwakilishi tu![emoji12][emoji125]