LGE2024 Mahakama yaipa Ruhusa TAMISEMI kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Nchi wasomi wapo ila hawaelewi!
Nchi ni Moja ila Kuna taasisi mbili za kusimamia uchaguzi.
 
Mahakama hizi ambazo zinapigiwa simu na mama yezebeli haziwezi kutenda haki hata siku moja.zitaamua kulingana na anavyopenda yezebeli
 
Katiba mpya itakayoweka mipaka sahihi ya hii mihimili ndiyo solution kwenye hii nchi.
 
Tanzania hatuna Mahakama wala Bunge. Kinachoitwa Mahakama au Bunge ni idara tu za ikulu. Kabla hawajafanya uamuzi wowote ni lazima waiulize ikulu, waamue namna gani!! Rostam alifafanua wazi kabisa.

Hiyo hukumu ina maana ndiyo maelekezo ya ikulu.
 
Nchi hii hakuna mahakama bali genge la wajumbe wa CCM mahakamani!
 
tunashukuru majibu yamekuja kama tulivyotegemea mahakama imetenda haki,vinginevyo wangepiga hatua kubwa sana kama muhimili unaojitegemea
 
Kwa maoni yangu mahakama imetoa maamuzi kutokana na vipengele vya sheria na jaji amekiri wazi kwamba wao hawafuati hisia,wengi wenu hapa mmetumia hisia kuinyooshea mahakama kidole lkn kiuhalisia imeeleza hoja wazi wazi.

Na ikaenda mbele zaidi kwamba kuna huyo mwamba mmoja ambaye anajielewa,yeye kwakujua katiba ndio msingi mama wa sheria za hapa nchini amefungua kesi ya kikatiba,kwa maana katiba irekebishwe kupitia hivyo vifungu

Je kosa la majaji liko wapi?

Pili kwa.mujibu wa sheria iliyotungwa na bunge waziri wa Tamisemi kimamlaka anawajibika kudili na sheria au kanuni za uchaguzi,je mwenye kosa hapo ni nani,je ni mahakama? Bunge au waziri wa Tamisemi?

Tuache ujinga wa kutoa lawama badala yake tuangalie uhalisia
 
Hiyo ilikuwa wazi, wanasheria walikuwa wanaweka tu Kumbukumbu sawa.
 
Tulishaambiwa na fisadi Rostam kuwa mahakama zetu hupokea maelekezo kutoka kwa wanasiasa wa chama tawala walioko ikulu
 
Tulishaambiwana fisadi Rostam kubwa mahakama zetu hupokea maelekezo kutoka kwa wanasiasa wa chama tawala walioko ikulu
Sasa huwa mnapeleka pua zenu mahakamani kutafuta nini? Mmkaz yenu ni kulalamika lalamika hovyo hovyo tu
 
Mahakama ingeenda kinyume na serikali ningejinyea siku 4 mfululizo bila kupumzika, tuna mahakama ya hovyo kabisa hata shetani ana nafuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…