Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Wabunge wa upinzani walikuwa wazua kuwa kuna barua kutoka mahakamani iliyozuwia mjadala wa Escrow bungeni.
Mwenyekiti wa Bunge Mheshimiwa Azzan Zungu, amethibitisha sasa hivi bungeni kuwa hakuna barua kutoka mahakamani iliyozuwia mjadala huo au mwingine wowote ule bungeni na mjadala utakuwepo kama ilivyopangwa awali.
Hapo sasa!

Ni dhahiri basi Pinda jana alikuwa anajaribu kupima upepo, kwa kuwa tulimsikia sote 'akimuonya' Naibu Spika Ndugai kuwa awe makini na maamuzi yake, ili yasije yakaingilia uhuru wa mhimili mwingine wa mahakama.Pinda jana alikuwa ndani ya ukumbi wa bunge na hakukanusha wala kukubali kuhusu barua waliyozuwa upinzani. Leo Azzan Zungu kaweka wazi hilo baada ya Machali kuliongelea tena.
Yaani masuala ya msingi kama haya wewe unasema ni tamrhiliya ya kusisimua!
We mwanamke huwa unatia kinyaa hata kwenye mambo ya msingi unaongea utumbo........ Jirekebishe ndugu yangu khaaaa
Mkuu usimize akili kubishana na takataka! Tutajua nani "tumbili" na "mwizi".....
Ni dhahiri basi Pinda jana alikuwa anajaribu kupima upepo, kwa kuwa tulimsikia sote 'akimuonya' Naibu Spika Ndugai kuwa awe makini na maamuzi yake, ili yasije yakaingilia uhuru wa mhimili mwingine wa mahakama.
Lakini mara tu baada ya kutoa tamko hilo alionja joto la jiwe, baada ya bunge zima, kumzomea kwa nguvu, na cha kushangaza zaidi hata wabunge wenzake wa CCM waliungana na wabunge wa ukawa, kumzomea Waziri mkuu wao!
Akina Mbatia walitaka kujichukulia umaarufu kwenye jambo hili. Hongera Mahakama kwa kuweka wazi
Majibu ya Mtoto wa mkulima ndo yaliibua hasira za wabunge... perception ikabadili hali ya hewa kila mtu akahisi kuwepo barua.
Mjadala ukiwapo, aibu yao itakuwa haisemeki... Andaa pop corn na juice ya ukwaju tu FaizaFoxy
Kumbe kina lisu wameitisha press kwakitu ambacho hawana uhakika nacho.Mh kumbe wote tumelogwa na Marehemu.
Hivi Pida kwa nafsi yake aliyonayo katika nchi naye alikua anajibu issue ya barua ambayo haipo? Mbon nashindwa kuelewa hapa.Pnda si ndio President Kwasasa?
who is fooling who?
.........Maana yake ni kwamba PM anajinyea nyea, anajua hachomoki hata kwa kutumia nyundo. Siku zote mwizi hutetea wezi wenzie na safari hii wezi wote mwisho wenu umefika. Hata baadhi ya wabunge wa CCM akili zao zimeanza kurudi na kuungana na UKAWA kwenye huu wizi wenu.Waziri Mkuu kumwambia "Naibu Spika Ndugai kuwa awe makini na maamuzi yake, ili yasije yakaingilia uhuru wa mhimili mwingine wa mahakama." Ndiyo maana yake kuna barua ya kuzuwia mjadala? Unanchekesha.
..Moderator umefanya sahihi kama uzi wa huyu dada umeuhamishia huku, hakuna kuanzisha mada tofauti zinazoongelea kitu kimoja na lengo moja kwa kutumia majina tofauti ya Mahakama na Bunge.
kwani wanasiasa wa sikuhizi wanazo huko upstair.wanachukua mambo ya media na kwenda kupoteza mda kujadili fununu.