issakwisa6810
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 309
- 84
wajinga sana hao wezi mwe kazi kutuchangisha hela za maabara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi huyu Lizaboni ninani, ni Mtanzania? Manake sijawahii kuona hata siku moja akichangia hoja yeyote positively.
Si ajabu ukimwambia anakunya atakataa akuambie yeye hanyagi?
This is very serious. He is always negative in everything!
We mwanamke huwa unatia kinyaa hata kwenye mambo ya msingi unaongea utumbo........ Jirekebishe ndugu yangu khaaaa
Huyu jamaa Siku nikikutana naye Nampiga picha niiweke kwenye fremu ikae library kama kumbukumbu........jamaa Ni mbishi na mtata wa Karne.Hivi huyu Lizaboni ninani, ni Mtanzania? Manake sijawahii kuona hata siku moja akichangia hoja yeyote positively.
Si ajabu ukimwambia anakunya atakataa akuambie yeye hanyagi?
This is very serious. He is always negative in everything!
ivi si ndio hawa walianzisha hili jambo mkawatukana na kidogo mpigane mbona yamekuwa haya tena
Mkuu asikupe tabu. Huyo ni mwepesi tu kama hoja zake zinavyjionyesha. Kwa kifupi huyo ni used dizaini ya toilet paper. Anatoka Buku 7 Club.Hivi huyu Lizaboni ninani, ni Mtanzania? Manake sijawahii kuona hata siku moja akichangia hoja yeyote positively.
Si ajabu ukimwambia anakunya atakataa akuambie yeye hanyagi?
This is very serious. He is always negative in everything!
Akina Mbatia walitaka kujichukulia umaarufu kwenye jambo hili. Hongera Mahakama kwa kuweka wazi
Akina Mbatia walitaka kujichukulia umaarufu kwenye jambo hili. Hongera Mahakama kwa kuweka wazi
Wakati Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wakichachamaa wakisema hawatakubali Bunge hilo kuingiliwa na mhimili wa Mahakama, Mahakama hiyo imejiweka kando na tuhuma hizo.
Sakata hilo lililotawala kikao cha Bunge hilo jana lilitokana na madai yaliyoibuliwa juzi na wabunge wa kupinzani unaoundwa na vyama vya CUF, Chadema na NCCR-Mageuzi.
Wabunge hao Tundu Lissu (Chadema), James Mbatia (NCCR-Mageuzi) na Habib Mnyaa (CUF) waliwaambia waandishi wa habari mjini Dodoma juzi kuwa wamepata taarifa za uhakika kuwa Mahakama imeandika barua ikiritaarifu Bunge lisijadili kashfa ya uchotaji wa zaidi ya Sh. bilioni 300 kutoka akaunti ya Tegeta Escrow ndani ya Benki Kuu ya Tanzania.
Wabunge hao, walisema kuwa hatua hiyo ni kuingilia uhuru wa mhimili wa Bunge na kwamba lengo lake ni kutaka kukwamisha ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ili wahusika wasichukuliwe hatua.
Msajili wa Mahakama Kuu, Amir Msumi, alipotakiwa jana na NIPASHE kuthibitisha kama Mahakama imeandika barua hiyo kwenda Ofisi ya Spika wa Bunge kuzuia suala hilo lisijadiliwe kwa kuwa kiko mahakamani, alisema yeye na wasajili wenzake hawana taarifa kuhusu kuandikwa kwa barua hiyo.
Labda unieleze hiyo barua imeandikwa na nani na lini, kama ni Jaji au Msajili nitajie jina lake ili iwe rahisi kufuatilia, lakini hadi sasa nimepekua kwenye kumbukumbu zetu sijaona barua hiyo, alisema Msumi.
Aliahidi kwamba jana angewasiliana na wenzake wa Mahakma ya Rufani kama kuna barua imeandikwa kutoka mahakama hiyo kwenda bungeni.
Hadi sasa hakuna mamlaka yoyote ya serikali iliyothibitisha rasmi kama kuna barua iliyoandikwa na Mahakama kwenda Ofisi ya Spika wa Bunge.
Juzi Naibu Spika,Job Ndugai, alisema kuwa ofisi ya Spika haijapokea barua hiyo.
Hata Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wakati akizungumza bungeni jana kuhusiana na madai hayo, hakuthibitisha wala kukanusha kama kuna barua iliyoandikwa na Mahakama kwenda bungeni kuzuia mjadala huo, zaidi ya kusisitiza itumike busara ili kuepusha mihimili hiyo kuingiliana katika majukumu yao kwa mujibu wa Katiba ya nchi.
Chanzo: Nipashe
Cku zote huwa nasema,tz haina viongozi wenye busara,kutwa misuli imewatoka kwa kujadili uvumi,wameupaka matope mhimili mwingine pasipo sababu,eti ni bunge makini,umakini wa bunge lenu ni upi,uozo mtupu,kila jambo ni siasa tu,
Kwa hiyo kwa mara ya kwanza Bunge na serikali walijadili "Tetesi"?