Mahakama yakana kuandika Barua kuzuia mjadala wa Tegeta Escrow Account bungeni

Mahakama yakana kuandika Barua kuzuia mjadala wa Tegeta Escrow Account bungeni

LoL!!!! hii kitu sasa inazidi kuwa kichekesho cha hali ya juu duh!!!!! Labda barua hiyo imeandikwa na mahakama inayosimamiwa na wahuni, wauza unga, tumbili, mafisadi, magaidi na majangili.....MAHAKAMA YA MAINTARAHAMWE.
 
kp20112014.jpg
 
Hivi huyu Lizaboni ninani, ni Mtanzania? Manake sijawahii kuona hata siku moja akichangia hoja yeyote positively.

Si ajabu ukimwambia anakunya atakataa akuambie yeye hanyagi?

This is very serious. He is always negative in everything!

Atakuwa msukule au robot
 
Hivi huyu Lizaboni ninani, ni Mtanzania? Manake sijawahii kuona hata siku moja akichangia hoja yeyote positively.

Si ajabu ukimwambia anakunya atakataa akuambie yeye hanyagi?

This is very serious. He is always negative in everything!
Huyu jamaa Siku nikikutana naye Nampiga picha niiweke kwenye fremu ikae library kama kumbukumbu........jamaa Ni mbishi na mtata wa Karne.
 
ivi si ndio hawa walianzisha hili jambo mkawatukana na kidogo mpigane mbona yamekuwa haya tena

Kawaida yao hawa usihangaike nao akili huwa inakuwa sawa kujadili "miss umri" issue isiyo na manufaa kwa taifa
 
Pinda booed as MPs close ranks on IPTL scam

pinda.jpg

Prime Minister Mizengo Pinda
By Katare Mbashiru,The Citizen Reporter

Posted Friday, November 21 2014 at 08:05
In Summary

  • Mr Pinda was booed in the afternoon as he sought to explain the independence of the Judiciary and that of Parliament as the supreme law making organ and the executive.
  • TOP OFFICIALS ‘PAID BILLIONS IN BRIBES’: The Public Accounts Committee on Wednesday heard how some top government officials and MPs were paid billions of shillings suspected to have come from the Tegeta escrow account. PAC was also told how senior government officials aided Pan African Power Solutions Tanzania Limited in evading tax in its dubious acquisition of Independent Power Tanzania Limited.

Dodoma. Prime Minister Mizengo Pinda was booed yesterday in Parliament in an unprecedented reaction by MPs angered by what they saw as brazen attempts to block them from debating the Controller and Auditor General’s report on the Tegeta escrow account scam.

Mr Pinda was booed in the afternoon as he sought to explain the independence of the Judiciary and that of Parliament as the supreme law making organ and the executive.

But MPs would have none of it and drowned his remarks in loud boos as they read mischief in the letter purported to have been written by the Judiciary to seek stoppage of any debate on the CAG report. MPs across the political divide united to defend their turf and demanded that the report be tabled for debate without further delay and before any other House business could be undertaken.

Pinda booed as MPs close ranks on IPTL scam - National - thecitizen.co.tz






 
Akili yako ntaipima bahada ya report ya CAG maana umetetea sana upuhuzii kuwa Fedha ya Escrow sio mali ya Umma. Na nina wasiwasi sana na uraia wako kwakuwa sio mzalendo
Sasa naona unadandia mada za watu
 
Cku zote huwa nasema,tz haina viongozi wenye busara,kutwa misuli imewatoka kwa kujadili uvumi,wameupaka matope mhimili mwingine pasipo sababu,eti ni bunge makini,umakini wa bunge lenu ni upi,uozo mtupu,kila jambo ni siasa tu,
 
Hiyo barua inawezekana waliandika Pinda, Werema na Mjulizi.
 
Hivi huyu Lizaboni ninani, ni Mtanzania? Manake sijawahii kuona hata siku moja akichangia hoja yeyote positively.

Si ajabu ukimwambia anakunya atakataa akuambie yeye hanyagi?

This is very serious. He is always negative in everything!
Mkuu asikupe tabu. Huyo ni mwepesi tu kama hoja zake zinavyjionyesha. Kwa kifupi huyo ni used dizaini ya toilet paper. Anatoka Buku 7 Club.
 
Akina Mbatia walitaka kujichukulia umaarufu kwenye jambo hili. Hongera Mahakama kwa kuweka wazi

wewe na FAIZAFOOOOXXYYY woote na LUMUMBA FC hamna jipya unampa hongera mahakama ya usanii!! hiyo barua waliyoiandika tayari wameshaenda nayo MSALANI kujisafishia makalio yao baada ya TUNDU LISU kutoa tamko kuwa wabunge wanasubiri huyo jaji aliyejivisha mabomu akajilipue alafu WAJUE CHA KUFANYA ndio maana MAJAJI UCHWARA wamesepa, na msala uko palepelee lazima kuanzia mwaka huu tuwainamishe wote nyie.
 
Akina Mbatia walitaka kujichukulia umaarufu kwenye jambo hili. Hongera Mahakama kwa kuweka wazi

Wameona moto ulio bungeni, wameamua kuiondoa kwani hujui serikali na mahakama katika hili lao moja? Najua unajua lakini wajifanya hujui.
 
Wakati Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wakichachamaa wakisema hawatakubali Bunge hilo kuingiliwa na mhimili wa Mahakama, Mahakama hiyo imejiweka kando na tuhuma hizo.

Sakata hilo lililotawala kikao cha Bunge hilo jana lilitokana na madai yaliyoibuliwa juzi na wabunge wa kupinzani unaoundwa na vyama vya CUF, Chadema na NCCR-Mageuzi.

Wabunge hao Tundu Lissu (Chadema), James Mbatia (NCCR-Mageuzi) na Habib Mnyaa (CUF) waliwaambia waandishi wa habari mjini Dodoma juzi kuwa wamepata taarifa za uhakika kuwa Mahakama imeandika barua ikiritaarifu Bunge lisijadili kashfa ya uchotaji wa zaidi ya Sh. bilioni 300 kutoka akaunti ya Tegeta Escrow ndani ya Benki Kuu ya Tanzania.

Wabunge hao, walisema kuwa hatua hiyo ni kuingilia uhuru wa mhimili wa Bunge na kwamba lengo lake ni kutaka kukwamisha ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ili wahusika wasichukuliwe hatua.

Msajili wa Mahakama Kuu, Amir Msumi, alipotakiwa jana na NIPASHE kuthibitisha kama Mahakama imeandika barua hiyo kwenda Ofisi ya Spika wa Bunge kuzuia suala hilo lisijadiliwe kwa kuwa kiko mahakamani, alisema yeye na wasajili wenzake hawana taarifa kuhusu kuandikwa kwa barua hiyo.

“Labda unieleze hiyo barua imeandikwa na nani na lini, kama ni Jaji au Msajili nitajie jina lake ili iwe rahisi kufuatilia, lakini hadi sasa nimepekua kwenye kumbukumbu zetu sijaona barua hiyo,” alisema Msumi.

Aliahidi kwamba jana angewasiliana na wenzake wa Mahakma ya Rufani kama kuna barua imeandikwa kutoka mahakama hiyo kwenda bungeni.

Hadi sasa hakuna mamlaka yoyote ya serikali iliyothibitisha rasmi kama kuna barua iliyoandikwa na Mahakama kwenda Ofisi ya Spika wa Bunge.
Juzi Naibu Spika,Job Ndugai, alisema kuwa ofisi ya Spika haijapokea barua hiyo.

Hata Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wakati akizungumza bungeni jana kuhusiana na madai hayo, hakuthibitisha wala kukanusha kama kuna barua iliyoandikwa na Mahakama kwenda bungeni kuzuia mjadala huo, zaidi ya kusisitiza itumike busara ili kuepusha mihimili hiyo kuingiliana katika majukumu yao kwa mujibu wa Katiba ya nchi.


Chanzo: Nipashe

Tutasikia mengi,huenda wengine kama namna Hitler alivyopotea
 
Cku zote huwa nasema,tz haina viongozi wenye busara,kutwa misuli imewatoka kwa kujadili uvumi,wameupaka matope mhimili mwingine pasipo sababu,eti ni bunge makini,umakini wa bunge lenu ni upi,uozo mtupu,kila jambo ni siasa tu,

Wewe ni mpumbavu tangu ukiwa shule ya awali
 
Kuwa pro-active kwa wapinzani kumesaidia taifa kwani hakika wangesubiri kuwa reactive mambo yangeharibika kwani tungeishia kuambiwa kuna zuio la mahakama. Kauli za pinda zinadhihilisha wazi kuwa hili jambo lilikuwepo na alilijua na alitegemea litafanikiwa
 
Pinda, Ombeni Sefue na Ndugai ambao wote wamedai kuna barua toka mahakama ya kuzuia mjadala wa ESCROW wote ni waongo wakubwa maana hakuna aliyeweza kuweka hadharani ni nani aliyeandika barua hiyo, iliandikwa lini na lini ilipokelewa na ofisi ya Bunge. Hapo juu Ndugai kasema kwamba ofisi ya Bunge haijapokea barua hiyo, sasa kama alikuwa hana uthibitisho wa kupokea barua hiyo iweje azuie mjadala wa ESCROW Bungeni bila kuwepo ushahidi wa barua hiyo!? Na ni kipengele kipi cha sheria ambacho kinairuhusu mahakama kuzuia mjadala wowote ule Bungeni!?
 
Back
Top Bottom