Mahakama yakana kuandika Barua kuzuia mjadala wa Tegeta Escrow Account bungeni

Mahakama yakana kuandika Barua kuzuia mjadala wa Tegeta Escrow Account bungeni

nazungumzia usemi unaotumika,kama ipo barua na wanaosema hakuna barua,tumjue muongo.hayo ya bringbackourmoney mimi nangoja ripoti ya kina Zitto ndio niseme.
 
Akina Mbatia walitaka kujichukulia umaarufu kwenye jambo hili. Hongera Mahakama kwa kuweka wazi

Wewe ni punguani wa akili unaweza kutuambia kauli ya PINDA jana ndani ya bunge ilikuwa inamaanisha nini?
 
Wanajaribu kutapatapa kila kona inashindikana. Mimi naombea wajichanganye wawalinde hao wezi ili mwakani wakutane na nguvu ya Umma kwenye uchaguzi. Yaani watakuwa wamemaliza nusu ya kazi wao wenyewe ambayo UKAWA ilikuwa waifanye.
 
Naibu spika hakuruhusu chochote kuhusu barua yoyote na ndiyo maana Tundu Lissu alirudia mara kumi "kama ipo".

naibu spika alitoa nafasi kwa wabunge kushauri juu ya barua hiyo,
je ni sahihi kwa kiti kuruhusu mjadala juu ya barua ambayo ofisi yake haijaipokea??
 
Kumbe kina lisu wameitisha press kwakitu ambacho hawana uhakika nacho.
ndo maana pinda akasema busara itumike lakini mahayawani wakamzomea mzee wa watu.
hawa wabunge mabwege hawajui kuwa kina lisu ni watundu na wako kazini kusaka utawala nao kama makondoo wakadandia maneno ya kina lisu bila hata uhakika kama barua ipo ama haipo.
huyo naibu spika nae bila hata kuconfirm uwepo wa barua ama laa akawa anapelekwapelekwa kama zuzu.
mambo ya kutungwa kwenye blogs wanaenda kujadili bungeni

Wew ni SHETANI ulaaniwe
Sijui humo JF uliingiaje maana hujielew
Una tetea wezi waziwazi
 
Mimi naona wanahangaika tu. Wangeliache liende tu litakae mkumba basi na atakaepona atasimulia ubaya wa wizi
 
kuna watu wanafanya mambo ya ajabu sana ni aibu aibu..
serikali imekwibaaa hela hizo tu..huo ndiyo ukweli
 
Siku ya kufa TUMBILI, miti yote huteleza!

Lazima TUMBILI ajulikane ni nani? na WEZI ni nani? (Msigwa 2014
 
Mkuu hii ni account ya Lumumba(joint account),jambazi sugu lolote la pale linaruhusiwa kuitumia as long as password ipo open kwa yeyote kuingia na kumwaga pumba hapa JF,NYAMBAF!!!
Hivi huyu Lizaboni ninani, ni Mtanzania? Manake sijawahii kuona hata siku moja akichangia hoja yeyote positively.

Si ajabu ukimwambia anakunya atakataa akuambie yeye hanyagi?

This is very serious. He is always negative in everything!
 
Back
Top Bottom