Danisamweswa
JF-Expert Member
- Jun 26, 2013
- 453
- 154
Hiii nchi ishafanywa shamba la bibi. Wakishakaa kwenye viti vya juu wanadhani wanakuwa salama tu. Afadhali kuna tumbili wasiojua mipaka ya waheshimiwa na walala hoi. Tumbili wanaruka kote kote. kama siyo hao tumbili ama kweli wangekula bila kelele yoyote.