Mkuu kumbuka ile kesi ambayo walimu waliitisha mgomo nchi nzima, serikali ikakimbilia mahakamani, ilikuwa weekend, Jaji masatu alisoma hukumu hadi USIKU wa saa 2 hadi 4, na walimu waliambiwa kuwa mgomo wao ni batili, Jaji masatu alipohojiwa inakuwaje mahakama inafanya kazi hadi usiku na ni weekend, alijibiwa kuwa mahakama haina weekend na haki haina muda maalumu kuwa huu ni wa kazi au huu si wa kaxi.
Na leo kuna mgomo wa nini? punguani wahed.
Ha ha ha ha. Mwishon mwa para imeniacha hoi. Eti haki haina weekend, ni pale tu Mahakama inapojisikia kuwa leo haki itafutwe weekend!? Kama jibu ni hilo hapo kuna Double Standard!
punguani mkubwa usiyeelewa masuala ya kimahakama, kaa kimya.
Leo Jumapili, wacha porojo, kuna mahakama ipi inayo fanya kazi leo Tanzania hii?
Usiogope, aitishe hata lile la kuajiriwa majaji wake, hayo hayazuii Bunge kujadili hiyo ripoti ya CAG bungeni. Bado masaa machache tu. Labda anataka kuwafunga wahalifu ili aonekane kuwa naye anatenda haki kwa Watz ila tunaomba asisahau kamstari kale kanakosema; Kabla ya kwenda Segerea, ufilisiwe mali zako zoote na hata mkeo aolewe na mwingine kwani mlikula wote, na wanao wanyang'anywe hata penceli ulo mnunulia kwani ulitumia fedha haramu.
Akiandika hivyo, tutamvumilia saana tu lakini Bunge haliendi kujadili kesi namba bali mabilioni waio gawana na jinsi walivyo gawana.
Ile mahakama iliyozuia mgomomwa wafanyakazi ilikuwa lini? Au huna kumbukumbu
Leo kuna mgomo?
Nikiwaambianwafuasi wa mudi hamna akili mnakimbilia kunireport kwa MODs..
Jibu swali wacha kuhororoja na kubwabwaja:
Leo kuna mgomo?
Yaani masuala ya msingi kama haya wewe unasema ni tamrhiliya ya kusisimua!
Wamepima upepo wakasepa. Sasa hata kama ikiwasilishwa barua bungeni na mwandishi wake akawekwa wazi watamruka wakisema hawakumtuma wao, bali ni mawazo yake binafsi. Acha kabisa, hii ndio Bongo!