Mahakama yakubali mshtakiwa mauaji ya mkewe apimwe Afya ya Akili

Benchi la utetezi wapo vyedi aisee

Anatoka huyo

Tunataka Katiba Mpya na siyo Katiba ya Warioba
Mahakama hailazimiki kufuata ushahidi wa kitaalamu (mfano ripoti ya daktari kuhusu utimamu wa akili wa mtuhumiwa). Daktari anaweza kusema mtuhumiwa ana tatizo la akili lakini mahakama ikamtia hatiani kulingana na mazingira aliyotenda kosa hilo iwapo yanaonesha alikuwa anajua anachokifanya.
 
Una akili sana.
Kweli kuna wanawake wajengaji na wavunjaji!

Je kama ungelimstahimili mkawa naye mpaka kwenye ustaafu, ingelikuwaje kwa mwanamke mwenye akili kama hizo!
 
Probability ni nevitable au innevitable kwemye kesi?
 

Hizo tathmini zinafanyika, pale Mirembe kuna upande maalumu kwa kazi hiyo.

Inachukua kundi la wataalamu na assessment nyingi sana inaweza kukuchukua miaka kwa hilo tu kulikamilisha.
 
Kazi kwelikweli,kimsingi kwa maisha aliyokuwa anaishi Uraiani,kisha ghafla upelekwe Jela kwa Kesi ambayo huoni utaponaje lazima akili iyumbe kidogo,lakini pili inaweza ikawa ni danganya toto ili apate favour fulani kwenye Kesi husika
kuna kesi unaona kabisa huchomoki na sehemu pekee unaweza itumia kama loophole ni kupitia daktari,hapo daltari atalambishwa mil.30 majibu yatatoka mshakiwa akili imefyetuka.

Jaji atamkalisha ndani mshtakiwa kwa kumchelewesha.mwishoni mtu anaachiwa aende uraiani kwa kifungo cha nnje au kuachiwa huru kabisa.
 
Huyo kashawehuka..kuua mtu kumchoma moto mpk majivu..akili unahani itabaki sawa???
 
Hii kesi jamaa atachomoka inaonekana anatembeza mpunga wa kutosha, kesi gani isiyoisha na kitu kipo wazi kabisa. Hapo majibu yanakuja ana matatizo ya akili mwisho wa siku anaachiwa huru au anahukumiwa miaka miwili au mitatu
Kaua ndio, ila kuna tofauti ya ‘murder’ na ‘manslaughter’
 
Kaua ndio, ila kuna tofauti ya ‘murder’ na ‘manslaughter’
Najua hilo, yani mpaka amechoma na kuchoma akaenda kuripoti na polisi kua mke wake kapotea, alafu iwe ameua kwa kutokukusudia kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…