Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Kaka sijwahi kutumauongo hapa hata siku moja,tena wala sio mahali pake.kubenea ana hali ngumu kwa sasa....na bado ana kesi zaidi ya kumi,kimsingi wale wote waliokuwa wakimpamba humu kuwa watakufa nae ndio wakati wao wa kuonyesha kuwa wako nae,mwanakijiji yuko wapi?field marshal?slaa etc
Kama kesi imesikilizwa ex-parte, ina maana ni upande mmoja, rufani itoke wapi?. Labda sasa baada ya kupata nakala ya hukumu, Kubenea anaweza kukata rufaa kwa kutumia wakili mahiri na hukumu hiyo ikatupiliwa mbali. Akiona kesi ghali, atangaze kufilisika, afunge 'Mwanahalisi' afungue 'Mwanahalisia'sasa wewe una matatizo.. Kama Mahakama imetoa hukumu imetoa hukumu. Ndio mchakato wa haki. Haki ni haki. Sasa, je kuna rufaa au hakuna, kama hakuna rufaa malipo ni lazima au MwanaHalisi litafilisiwa, kama watakata rufaa basi ni sehemu hiyo hiyo ya mchakato wa haki.
Kama kubenea anashindwa kumtazama mzee wake kule Baleni what makes you think anatakuwa na pesa za kuwalipa hao malawyers?
those guys are not cheap
Hizi habari zina ukweli?
BILION 3........mmmmhhhh atazitoa wapi...???..
huo ni uchuro mkuu.Hali ingekuwa vifijo na nderemo hapa JF kama thread ingekuwa ' Rostam ashindwa kesi dhidi ya Mwanahalisi na Kubenea'
Msanii,huo ni uchuro mkuu.
unajua ukishamjua ibilisi basi atabaki kuwa ibilisi labda akombolewe (if possible)
thanks mkuuMsanii,
Hongera mkuu... Hiyo ndo ilikuwa post yako ya 2,000! Si haba.
BTW: Nabadili heading ya thread kutoka ROSATAM to ROSTAM.