Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Kaka sijwahi kutumauongo hapa hata siku moja,tena wala sio mahali pake.kubenea ana hali ngumu kwa sasa....na bado ana kesi zaidi ya kumi,kimsingi wale wote waliokuwa wakimpamba humu kuwa watakufa nae ndio wakati wao wa kuonyesha kuwa wako nae,mwanakijiji yuko wapi?field marshal?slaa etc
sasa wewe una matatizo.. Kama Mahakama imetoa hukumu imetoa hukumu. Ndio mchakato wa haki. Haki ni haki. Sasa, je kuna rufaa au hakuna, kama hakuna rufaa malipo ni lazima au MwanaHalisi litafilisiwa, kama watakata rufaa basi ni sehemu hiyo hiyo ya mchakato wa haki.