Mahakama yalitia hatiani MwanaHalisi

Mahakama yalitia hatiani MwanaHalisi

Kaka sijwahi kutumauongo hapa hata siku moja,tena wala sio mahali pake.kubenea ana hali ngumu kwa sasa....na bado ana kesi zaidi ya kumi,kimsingi wale wote waliokuwa wakimpamba humu kuwa watakufa nae ndio wakati wao wa kuonyesha kuwa wako nae,mwanakijiji yuko wapi?field marshal?slaa etc

sasa wewe una matatizo.. Kama Mahakama imetoa hukumu imetoa hukumu. Ndio mchakato wa haki. Haki ni haki. Sasa, je kuna rufaa au hakuna, kama hakuna rufaa malipo ni lazima au MwanaHalisi litafilisiwa, kama watakata rufaa basi ni sehemu hiyo hiyo ya mchakato wa haki.
 
Kama kesi imesikilizwa ex-parte, ina maana ni upande mmoja, rufani itoke wapi?. Labda sasa baada ya kupata nakala ya hukumu, Kubenea anaweza kukata rufaa kwa kutumia wakili mahiri na hukumu hiyo ikatupiliwa mbali. Akiona kesi ghali, atangaze kufilisika, afunge 'Mwanahalisi' afungue 'Mwanahalisia'
 
ahaaa, kumbe imetoka kwa fisadi mtoto. tusiumize vichwa vyetu tuna mambo mengi sana ya kuangalia kuhusu jamii yatu.
 
wewe unashukuru mungu wa mafisadi!Natumaini ni uongo mbona magazeti ya rost am au sijayasikia yakicheka na wewe ni mwandishi wake?kakutuma?Unafikiri atakupa bahasha kama wale wa juzi,ROST UM ni fisadi tu.Na bado!!!mtashabikia sana lakini ukweli wale watano ni MAFISADI.
 
Last edited:
Kama kubenea anashindwa kumtazama mzee wake kule Baleni what makes you think anatakuwa na pesa za kuwalipa hao malawyers?

those guys are not cheap

Na sasa mtiririkoooo uendelee
 
Kwa mtindo huu JF inageuzwa kuwa kichaka endeleeni kulumbana kwanza nikapate uji
 
Hizi habari zina ukweli?

Nachukulia tatizo linalogusa Mwanahalisi kama tatizo na kikwazo kwa wote tunaopinga ufisadi.

Hii habari ni ya kweli kabisa, pendekezo langu kwa Kubenea, wakati unafanya jitihada za kuomba kusikilizwa tena, pitisha BAKULI nchi nzima tuwaonyeshe mafisadi jinsi wapiganaji tulivyo wengi na tuko pamoja kwa shida na raha.
 
It wont be possible!If is true,Kubenea is galagala.
 
Hali ingekuwa vifijo na nderemo hapa JF kama thread ingekuwa ' Rostam ashindwa kesi dhidi ya Mwanahalisi na Kubenea'
 
Mahakama zote zina waandishi wa habari na isingewezekana hukumu ya kesi kama hiyo ikaacha kutoka kwenye vyombo vya habari.
 
Maskini!!!huu ndio mwisho wa Kubenea. Kwahiyo akishindwa kulipa bil3 atafungwa?
 
Hali ingekuwa vifijo na nderemo hapa JF kama thread ingekuwa ' Rostam ashindwa kesi dhidi ya Mwanahalisi na Kubenea'
huo ni uchuro mkuu.
unajua ukishamjua ibilisi basi atabaki kuwa ibilisi labda akombolewe (if possible)
 
huo ni uchuro mkuu.
unajua ukishamjua ibilisi basi atabaki kuwa ibilisi labda akombolewe (if possible)
Msanii,

Hongera mkuu... Hiyo ndo ilikuwa post yako ya 2,000! Si haba.

BTW: Nabadili heading ya thread kutoka ROSATAM to ROSTAM.
 
Msanii,

Hongera mkuu... Hiyo ndo ilikuwa post yako ya 2,000! Si haba.

BTW: Nabadili heading ya thread kutoka ROSATAM to ROSTAM.
thanks mkuu
safari ilikuwa ndefu naamini nitafika hata elfu kumi endapo nitajitahidi kutovunja sheria za humu.
 
Sijafahamu vizuri "Fisadi Mtoto" anafurahia nini? Au ndiye alikuwa wakili? Hii furaha ya kukosea hata kuandika jina la "his master"! ROSATAM badala ya ROSTAM!

Ama kweli hujafa haujaumbika
 
Kaka nimefurahi kwa kuwa kilio cha kubenea na harusi yangu,ata kama atapata janga kubwa mimi kwangu ni furaha,anatunga mambo mengi na kujidai ni mpinga ufisadi,kumbe anaandika ili apewe hela,mara ngapi kaenda kuomba hela kwa rostam,kosa kunyimwa
 
Back
Top Bottom