Mathias Raymond Nyakapala
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,181
- 1,493
Sawa mkuu haki huchelewa ila huwaweka wabaya peupe zaidkangi atukubhagolosya fijo ! lengo letu ni kuionyesha dunia kwamba ccm haiwezi kushinda uchaguzi wowote wa haki
Masahihisho : Mwenyekiti wa ccm ndiye chanzo cha wizi wa kura baada ya kuwaambia wakurugenzi kwamba , " Nimekuteua nakupa mshahara na gari halafu umtangaze mpinzani mshindi "Tanzania yangu kila mahali wizi. Je tutafika?. Kwa nini CCM mnawafanyia wananchi mambo haya. Mjaribu kujirekebisha angalau. Rais wetu ambaye ndiye mwenyekiti wenu anahubiri haki klla siku. Tekelezeni hiyo haki anayohubiri.
Mambo kama haya yako kila mahali.
Ccm itakabidhi dola kama tutapata TUME HURU kwasababu hii mpaka mtu aliyeshinda ameenda mahakamani ndo ametangazwa....View attachment 1069524
Sent using Jamii Forums mobile app