Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vilaza wa Tanzania ni hatari kuliko corona. Hawa ndio wanarudisha nyuma juhudi za kuleta ukombozi na uhuru wa kweliNashindwa kuelewa kwanini majitu humu hayana aibu. Hatua zote za uchaguzi zinafanyika, tume na vyama vinatumia gharama kubwa katika hatua za uchaguzi. Mwisho wa proces,s msimamizi kwa utashi wake binafsi na wa DC anaamua eti kutangaza mgombe aliyeshindwa kuwa diwani. Anaona watu wote waliojipanga siku zima kupiga kura kuwa ni wajinga! Swali: Baada ya mahakama kujiridhisha kuwa alifanya uhuni kudhulumu haki za watu, Je, NEC, Rais au DED alimchukulia hatua gani?
TUNATAKA TUME HURU, HII YENU IPELEKENI HUKO CHIMWAGA IKASIMAMIE KURA ZENU. NYAMBAFU.
Mahakama yamrejeshea ushindi wa udiwani kata ya Ndalambo Mgombea wa CHADEMA aliyeporwa na DED - JamiiForums
Ccm hawana uwezo wa kushinda uchaguzi huru na haki.Masahihisho : Mwenyekiti wa ccm ndiye chanzo cha wizi wa kura baada ya kuwaambia wakurugenzi kwamba , " Nimekuteua nakupa mshahara na gari halafu umtangaze mpinzani mshindi "