Mahakama yamrejeshea ushindi wa udiwani kata ya Ndalambo Mgombea wa CHADEMA aliyeporwa na DED

Mahakama yamrejeshea ushindi wa udiwani kata ya Ndalambo Mgombea wa CHADEMA aliyeporwa na DED

Kwahiyo wananchi wa hiyo kata wameongozwa kwa miaka minne mfululizo na mtu ambaye hawakumchagua bali alitangazwa tu na DED. Je ni hatua gani za kisheria anapaswa kuchukuliwa huyu DED kwa kufanya uhaini wa kupindua matokeo halali ya chaguo la wananchi?
 
Kuna wale waliambiwa wana udhaifu wakasusa, sasa hawa wa tume tukisema huko kuna ushenzi na washenzi watasema tunawatukana. Imagine jitu limevaa tai na suti limesoma lakini bado linageuza matokeo. Ni wangapi ambao wamekumbwa na ushenzi kama huu.
Kule Korogwe wanatuaminisha ya kuwa vyama vitano vimeshindwa kujua ofisi ya mratibu wa uchaguzi kwa masaa takribani matano na hivyo wakashindwa kurudisha fomu za wagombea wao, halafu tume inashangalia na kusema wa CCM amepita bila kupingwa. Kama si ushenzi ni nini?
 
Diwani haramu wa chama cha magamba aliyetangazwa kiharamu arudishe posho zote alizokomba katika kipindi chake chote alichoongoza kiharamu apewe diwani halali aliyechaguliwa kihalali na wananchi.
 
Back
Top Bottom