Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
If Chadema lost the case then they would surely claim that justice has not been served; as usual. That is the point I want to expound here, in a nutshell....Wamekemea "prostituting" of the law. Some people at the top have simply ceased to be rational anymore.
If Chadema lost the case then they would surely claim that justice has not been served; as usual. That is the point I want to expound here, in a nutshell.
Well, it seems like you are just beating around the bush, afaik. utteraces=utterances. It's=its.But rational and mature people must be able to make a distinction between the actions and utteraces of a political party from those of it's supporters and sympathisers.
Kumbe mahakama zipo huru na zinatenda haki?
Kumbe mahakama ipo huru eeeeCcm itakabidhi dola kama tutapata TUME HURU kwasababu hii mpaka mtu aliyeshinda ameenda mahakamani ndo ametangazwa....View attachment 1069524
Sent using Jamii Forums mobile app
Uhuni huo ndio utakaotokea katika uchaguzi mkuu ujao wapinzani wawe makini sana.
Kwa hiyo huyu aliefanya kosa akamtangaza ambae hakushinda anapewa adhabu gani?Masahihisho : Mwenyekiti wa ccm ndiye chanzo cha wizi wa kura baada ya kuwaambia wakurugenzi kwamba , " Nimekuteua nakupa mshahara na gari halafu umtangaze mpinzani mshindi "
Tanzania hatuna tume huru ya uchaguzi.Tungekuwa na tume huru ccm ingesahaulika katika historia ya TZ.DED walio wengi ni makada wa ccm.Kwa mazingira hayo unatarajia nini?Ccm itakabidhi dola kama tutapata TUME HURU kwasababu hii mpaka mtu aliyeshinda ameenda mahakamani ndo ametangazwa....View attachment 1069524
Sent using Jamii Forums mobile app
kabisa kabisa leo unaandamana unakula virungu kesho yeye anahama chama hawa ni kuishi nao kwa akilidah hapana kumwaga damu isitokee tanzania tena hii roho tuipinge kwa nguvu zote, zipo njia nyingi za kupata tume huru bila kumwaga damu na ukiagalia wanasiasa wetu ni walewale hawaaminiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu ukijibiwa nitagKwahiyo wananchi wa hiyo kata wameongozwa kwa miaka minne mfululizo na mtu ambaye hawakumchagua bali alitangazwa tu na DED. Je ni hatua gani za kisheria anapaswa kuchukuliwa huyu DED kwa kufanya uhaini wa kupindua matokeo halali ya chaguo la wananchi?
Tanzania yangu kila mahali wizi. Je tutafika?. Kwa nini CCM mnawafanyia wananchi mambo haya. Mjaribu kujirekebisha angalau. Rais wetu ambaye ndiye mwenyekiti wenu anahubiri haki klla siku. Tekelezeni hiyo haki anayohubiri.
Alikwishasema anakulipa mshahara hatakuelewa endapo utamtangaza upinzani kuwa mshindi.Tanzania yangu kila mahali wizi. Je tutafika?. Kwa nini CCM mnawafanyia wananchi mambo haya. Mjaribu kujirekebisha angalau. Rais wetu ambaye ndiye mwenyekiti wenu anahubiri haki klla siku. Tekelezeni hiyo haki anayohubiri.