Mahakama yamrejeshea ushindi wa udiwani kata ya Ndalambo Mgombea wa CHADEMA aliyeporwa na DED

Mahakama yamrejeshea ushindi wa udiwani kata ya Ndalambo Mgombea wa CHADEMA aliyeporwa na DED

If Chadema lost the case then they would surely claim that justice has not been served; as usual. That is the point I want to expound here, in a nutshell.

But rational and mature people must be able to make a distinction between the actions and utteraces of a political party from those of it's supporters and sympathisers.
 
dah hapana kumwaga damu isitokee tanzania tena hii roho tuipinge kwa nguvu zote, zipo njia nyingi za kupata tume huru bila kumwaga damu na ukiagalia wanasiasa wetu ni walewale hawaaminiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
kabisa kabisa leo unaandamana unakula virungu kesho yeye anahama chama hawa ni kuishi nao kwa akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania yangu kila mahali wizi. Je tutafika?. Kwa nini CCM mnawafanyia wananchi mambo haya. Mjaribu kujirekebisha angalau. Rais wetu ambaye ndiye mwenyekiti wenu anahubiri haki klla siku. Tekelezeni hiyo haki anayohubiri.
Alikwishasema anakulipa mshahara hatakuelewa endapo utamtangaza upinzani kuwa mshindi.
 
Back
Top Bottom