Nashindwa kuelewa kwanini majitu humu hayana aibu. Hatua zote za uchaguzi zinafanyika, tume na vyama vinatumia gharama kubwa katika hatua za uchaguzi. Mwisho wa proces,s msimamizi kwa utashi wake binafsi na wa DC anaamua eti kutangaza mgombe aliyeshindwa kuwa diwani. Anaona watu wote waliojipanga siku zima kupiga kura kuwa ni wajinga! Swali: Baada ya mahakama kujiridhisha kuwa alifanya uhuni kudhulumu haki za watu, Je, NEC, Rais au DED alimchukulia hatua gani?
TUNATAKA TUME HURU, HII YENU IPELEKENI HUKO CHIMWAGA IKASIMAMIE KURA ZENU. NYAMBAFU.
Mahakama yamrejeshea ushindi wa udiwani kata ya Ndalambo Mgombea wa CHADEMA aliyeporwa na DED - JamiiForums