Dah mwenye nyumba nae mbwege alisuburi deni likue hivyo kama miezi 6 hajalipa si unamtoa nduki.Ila Harmonize ni mtata kwenye kulipa madeni, nakumbuka miaka kadhaa hapo nyuma amewahi kukimbia deni la kodi ya nyumba aliyokuwa akiishi huko Mbezi Beach kwa Mchagga mmoja kama 150 Milioni hivi.
Mbona hela ndogo tu hiyo,ukiwa na business plan na una kipaji unapewa mkopo ,kwani maofisini stadg wakichukua mkopo dhamana huwa ni nini,hiyo ni hela ndogo kwa msanii wa kaliba yakeMkopo huo ulikuwa wa Dhamana ya Ardhi (Nyumba) (Mortgage) au ni wa Nini hasa??? Dhamana au rehani aliweka assets gani ili kudhamini huo mkopo? Milioni 300 aliwezaje kukopeshwa na benki ya CRDB kiurahisi hivyo bila ya kuweka rehani mali yake yoyote ile? Ina maana kwamba alikopeshwa pesa nyingi kiasi hicho bila ya Mkopeshaji (Crdb) kujiridhisha Kwanza kuhusu uwezo wa mtu huyo wa kulipa marejesho ya deni lake???
Anyway, mkopo siyo sadaka, Mkopaji alipaswa kukopa kwa malengo.
Dawa ya deni ni kulipa.
Mwenzake alikopa akafungua studio na baadae akaenda kuwekeza kwenye media.View attachment 3072517
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Rajabu Abdukahali Ibrahim almaarufu Harmonize ametiwa hatiani na mahakama kuu divisheni ya biashara tarehe 2 mwezi huu wa 8 kwa kushindwa kulipa kikamilifu mkopo wa kiasi cha shilingi milioni 300 alizokopa katika benki ya CRDB mwaka 2019.
Mkopo huo uliokuwa na riba ya 18% ulielezwa na msanii huyo kama uwekezaji kwenye shughuli zake za kimuziki ikiwemo studio ya kisasa ya uzalishaji wa muziki na video, ulikuwa ulipwe ndani ya miezi 36 (miaka mitatu).
Na ulikuwa mkopo wa awamu mbili, ya kwanza ikiwa milioni 100 kisha awamu ya pili milioni 200 ambazo awamu zote alipewa na benki hiyo mwaka huohuo wa 2019.
Moja ya makubaliano ilikuwa (Harmonize) kufungua akaunti ya kibiashara katika benki hiyo kisha kuiweka milioni 100 na kuifanya akaunti hiyo kuwa akaunti yake kuu katika shughuli zake za kiabishara, takwa hilo pamoja na mengine ikiwemo marejesho ya mkopo kwa kila mwezi yalishindwa kufikiwa na Harmonize.
Baada ya usumbufu uliopitiliza wa ulipaji wa mkopo huo kutoka kwa Harmonize, CRDB walifikia uamuzi wa kwenda mahakamani. Uamuzi huo ambao mahakama ilitoa wito mara kadhaa kwa Harmonize, lakini Harmonize hakufika mahakamani. Na hata mahakama ilipomuomba kutoa maelezo (Written statement of defence WSD) hakufanya hivyo.
CRDB waliendelea kumkumbusha Harmonize kulipa mkopo kila mara na kila njia hadi zikiwemo jumbe za WhatsApp, mwanzoni mwa mwaka 2022 Harmonize aliandika barua kwenda tawi la benki hiyo lililopo Mlimani City akiomba kulipa marejesho kwa kiasi cha 3.3 milioni badala ya utaratibu uliowekwa wa 10.8 milioni kila mwezi wakati huo deni la mkopo likiwa 109,731,733.46/= CRDB walikubali ombi lake hilo ila akitakiwa kulipa 3.9 milioni badala ya 3.3 milioni aliyokuwa ameomba.
Harmonize alifanikiwa kupunguza deni hilo hadi kufikia kiasi cha 103,185,755. Baada ya hapo hakulipa tena hadi kufikia hukumu iliyotolewa 2/08/2024 ambapo msanii huyo ametakiwa kulipa kiasi chote kilichobaki katika mkopo, gharama za kesi na fidia ya milioni 10 na nyinginezo kama mahakama ilivyoona.
Chanzo changu na mimi,
Nifah.
Ushawahi ona mdaiwa anafungwa. Anakubali kulipa deni then analipa kidogo kidogo hivyo hivyo.Kwa crdb kayakanyaga itamtokea puani
Mkopo huo ulikuwa wa Dhamana ya Ardhi (Nyumba) (Mortgage) au ni wa Nini hasa??? Dhamana au rehani aliweka assets gani ili kudhamini huo mkopo? Milioni 300 aliwezaje kukopeshwa na benki ya CRDB kiurahisi hivyo bila ya kuweka rehani mali yake yoyote ile? Ina maana kwamba alikopeshwa pesa nyingi kiasi hicho bila ya Mkopeshaji (Crdb) kujiridhisha Kwanza kuhusu uwezo wa mtu huyo wa kulipa marejesho ya deni lake???
Anyway, mkopo siyo sadaka, Mkopaji alipaswa kukopa kwa malengo.
Dawa ya deni ni kulipa.
Mbwembwe zote hizo kumbe harmonize hamna kitu. Show off za kishamba. Wanaanza kuumbuka. Tunawasubiria kina chiefgolove na dj ally b.View attachment 3072517
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Rajabu Abdukahali Ibrahim almaarufu Harmonize ametiwa hatiani na mahakama kuu divisheni ya biashara tarehe 2 mwezi huu wa 8 kwa kushindwa kulipa kikamilifu mkopo wa kiasi cha shilingi milioni 300 alizokopa katika benki ya CRDB mwaka 2019.
Mkopo huo uliokuwa na riba ya 18% ulielezwa na msanii huyo kama uwekezaji kwenye shughuli zake za kimuziki ikiwemo studio ya kisasa ya uzalishaji wa muziki na video, ulikuwa ulipwe ndani ya miezi 36 (miaka mitatu).
Na ulikuwa mkopo wa awamu mbili, ya kwanza ikiwa milioni 100 kisha awamu ya pili milioni 200 ambazo awamu zote alipewa na benki hiyo mwaka huohuo wa 2019.
Moja ya makubaliano ilikuwa (Harmonize) kufungua akaunti ya kibiashara katika benki hiyo kisha kuiweka milioni 100 na kuifanya akaunti hiyo kuwa akaunti yake kuu katika shughuli zake za kiabishara, takwa hilo pamoja na mengine ikiwemo marejesho ya mkopo kwa kila mwezi yalishindwa kufikiwa na Harmonize.
Baada ya usumbufu uliopitiliza wa ulipaji wa mkopo huo kutoka kwa Harmonize, CRDB walifikia uamuzi wa kwenda mahakamani. Uamuzi huo ambao mahakama ilitoa wito mara kadhaa kwa Harmonize, lakini Harmonize hakufika mahakamani. Na hata mahakama ilipomuomba kutoa maelezo (Written statement of defence WSD) hakufanya hivyo.
CRDB waliendelea kumkumbusha Harmonize kulipa mkopo kila mara na kila njia hadi zikiwemo jumbe za WhatsApp, mwanzoni mwa mwaka 2022 Harmonize aliandika barua kwenda tawi la benki hiyo lililopo Mlimani City akiomba kulipa marejesho kwa kiasi cha 3.3 milioni badala ya utaratibu uliowekwa wa 10.8 milioni kila mwezi wakati huo deni la mkopo likiwa 109,731,733.46/= CRDB walikubali ombi lake hilo ila akitakiwa kulipa 3.9 milioni badala ya 3.3 milioni aliyokuwa ameomba.
Harmonize alifanikiwa kupunguza deni hilo hadi kufikia kiasi cha 103,185,755. Baada ya hapo hakulipa tena hadi kufikia hukumu iliyotolewa 2/08/2024 ambapo msanii huyo ametakiwa kulipa kiasi chote kilichobaki katika mkopo, gharama za kesi na fidia ya milioni 10 na nyinginezo kama mahakama ilivyoona.
Chanzo changu na mimi,
Nifah.
Weka salary slip Yako wewe mkurugenzi tuone ,ukinizidi mshahara naacha kazi Leo hiliDuuu ualimu kibongobongo ni laana kweli usifanye masihara Kopa huo mkopo ndo utaelewa kwanini ualimu ni laana
Anafungwa vizuri tuUshawahi ona mdaiwa anafungwa. Anakubali kulipa deni then analipa kidogo kidogo hivyo hivyo.
Kwa kosa gani mkuu?Anafungwa vizuri tu
Mbwembwe zote hizo kumbe harmonize hamna kitu. Show off za kishamba. Wanaanza kuumbuka. Tunawasubiria kina chiefgolove na dj ally b.
King Kong III mrangi