ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,651
- 2,790
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila shaka uongo haupo ungekuwepo wangemtaka athibitishe, kule kwetu wanasema (gwasinga enyomyo.) Nitarudi kutafsiri.Ajifunze aache ujinga
Tabia ya zito kuzusha uwongo ipo siku yatamtokea puani
Mahakama imemuogopa Zitto, hakimu anajua Kijana anatokea Kigoma.Ajifunze aache ujinga
Tabia ya zito kuzusha uwongo ipo siku yatamtokea puani
Siyo Mbatia? Unapingana na Fikra za Mwenyekiti.Ni jambo jema!
Zitto ni zaidi ya Mbowe!
Mkuu asante kwa masahihisho, ts minor errors mkuu, asante kwa hekima zako 🙏Mzee wa USA samahani kidogo, hivi waandishi wanaitwa Judiciary Journalism au Judiciary Journalists, samahani lakini kukuuliza maana nyie wenzetu mmeishi sana huko na ndio lugha zenu hizi. Sisi tunababia babia tu
Labda utaki kuelewa anajitambua sna kuliko mimi na ww na anajua nn anafanya ila Tumbo kwanza hlf Kanisani Pale St Peter.Zitto hajitambui yule
Fikra za Kichaggaism.Karika kipindi hiki kuelekea uchaguzi, CCM aka gambas wanamuhitaji zitto kuliko zito anavyohiitaji ccm, hawana jinsi ilikuwa maamuzi haya yafikiwe tu.
Zito anapenda kuvunja sheria
Uwongo wake na upotoshaji ndio umemfikisha pale
Alikuwa anafurahisha watu mitandaoni amebaki peke yake
Sie wengine tunawaza km wewe halafu tunakaa kimyaaa.Halafu mbona kama naona zitto is always doing extreme stuffs and he gets away with them stuffs.
Ni kwamba zitto anajua mipaka yake sana au kuna kitu nyuma ya pazia.
Yaani anaweza tu akatoa maneno makali mazitoo mwisho wa siku husikii akapigwa kashkash kama za wapinzani wengine.
Just sinking!