Mkuu, si wewe utathibitisha ni uongo au ni kweli. Au alikuwa anafurahisha watu mitandaoni. Au amebaki peke yake.
Jiepushe na kuzungumzia nadharia na vitu usivokuwa na uthibitisho navyo.
Mwache hakimu, mawakili wafanya kazi zao. Mahakama sio sehemu ya hisia.
Kama hii kesi nilitegemea angepigwa fine lakini eti asitoe maneno ya uchochezi kwa mwaka mmoja kwahiyo baada ya mwaka wembe ni ule ule.Halafu mbona kama naona zitto is always doing extreme stuffs and he gets away with them stuffs.
Ni kwamba zitto anajua mipaka yake sana au kuna kitu nyuma ya pazia.
Yaani anaweza tu akatoa maneno makali mazitoo mwisho wa siku husikii akapigwa kashkash kama za wapinzani wengine.
Just sinking!
Mbona wanazuia au wanataka kumpiga miezi 5 ndani ili asigombee Ubunge?
Ungesema ukweli tu. Hapo katiwa hatiani na kapewa kifungo cha nje cha mwaka mmoja.Leo ikiwa ni siku ya Hukumu ya Mbunge wa Kigoma Mjini, Waandishi wenye Press Cards wamekataliwa kuingia kusikiliza hukumu ya Zitto kwa maelezo kwamba si waandishi wa Mahakama.
UPDATE
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Zitto ameachiwa huru kwa sharti kwamba asitoe matamshi ya uchochezi katika kipindi cha mwaka mmoja.
Hakimu Aliekuwa anasikiliza kesi ya Zito anaitwa Huruma Shaidi so kwa jina lake tu la HURUMA ina maana amemuonea huruma zitoKama hii kesi nilitegemea angepigwa fine lakini eti asitoe maneno ya uchochezi kwa mwaka mmoja kwahiyo baada ya mwaka wembe ni ule ule.
Halafu mbona kama naona zitto is always doing extreme stuffs and he gets away with them stuffs.
Ni kwamba zitto anajua mipaka yake sana au kuna kitu nyuma ya pazia.
Yaani anaweza tu akatoa maneno makali mazitoo mwisho wa siku husikii akapigwa kashkash kama za wapinzani wengine.
Just sinking!
Hivi unajua ata Apartheid ilikua sheria halali?Zito anapenda kuvunja sheria
Uwongo wake na upotoshaji ndio umemfikisha pale
Alikuwa anafurahisha watu mitandaoni amebaki peke yake
Sawa hata meko ajifunze kua tumempa ajira aache kufisadi na kuendesha bunge kama yuko kwao kilimani.Zito ajifunze sasa aache mambo ya kuzusha mtandaoni
Ipo siku ndumba zake za ujiji zitatunda kufanya kazi aozee jela
Mkuu conviction ya mhe. Huruma shaidi kwa zito ni ya ajabu sana, unaposema nimekuachia huru ila usiseme maneno ya uchochezi ndani ya mda fulani ana maana kwamba amemtia hatiani zito?Halafu mbona kama naona zitto is always doing extreme stuffs and he gets away with them stuffs.
Ni kwamba zitto anajua mipaka yake sana au kuna kitu nyuma ya pazia.
Yaani anaweza tu akatoa maneno makali mazitoo mwisho wa siku husikii akapigwa kashkash kama za wapinzani wengine.
Just sinking!
Muongo ni meko, bashite, kabugi hao ni waongo shetani anawaogopaZito anapenda kuvunja sheria
Uwongo wake na upotoshaji ndio umemfikisha pale
Alikuwa anafurahisha watu mitandaoni amebaki peke yake
Sawa hata meko ajifunze kua tumempa ajira aache kufisadi na kuendesha bunge kama yuko kwao kilimani
Uwongo wako humu haukubalikiHuu uwongo haikubaliki
Pole na hongera ZZK.Ni kipindi kigumu na inawezekana umewekwa katika mtego mkali zaidi. Ngoja tusubiri ya Bi Shost Halima Mdee.Leo ikiwa ni siku ya Hukumu ya Mbunge wa Kigoma Mjini, Waandishi wenye Press Cards wamekataliwa kuingia kusikiliza hukumu ya Zitto kwa maelezo kwamba si waandishi wa Mahakama.
UPDATE
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Zitto ameachiwa huru kwa sharti kwamba asitoe matamshi ya uchochezi katika kipindi cha mwaka mmoja.
Kama ana kosa kwa nini aachiwe huru kwa mashariti ya kutorudia kosa?Mahakama imemuachia huru mh Zitto Kabwe kwa masharti kuwa asikutwe na kosa lolote linalohusiana na masaula ya uchochezi ama kutoa kauli yoyote yenye viashiria vya uchochezi kwa muda wa mwaka mmoja.
Nini maoni yako kwa hukumu hii ya mahakama dhidi ya mh Zitto