Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,681
- 8,241
Safari hii hawataki kuingizia serikali mapato. Kuna kila dalili kuwa hizi hukumu kuna nguvu fulani iko nyuma yake, sio hukumu halisi za kimahakama.
Una uhakika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safari hii hawataki kuingizia serikali mapato. Kuna kila dalili kuwa hizi hukumu kuna nguvu fulani iko nyuma yake, sio hukumu halisi za kimahakama.
Leo ni msiba mkubwa kwa vijana wa lumumba maana walikuwa wanaombea Zitto apigwe mvua za kutosha
Kutoka kwenye hukumu kuna maneno yanasema "Zitto hasijiusishe na uchochezi mwaka mmoja" Sasa unakaa unajiuliza inakuwaje mtu umzuie kufanya uchochezi kwa mwaka kwahyo baada ya mwaka ni sawa kufanya uchochezi? hii ni moja ya hukumu ya kipumbavu sana.
Kwa nini hawapendi?Sikutegemea Zito kufungwa. Viongozi wa cdm ndio wasiopendwa na Magufuli. Hivyo wao hufungwa ili afurahi.
Utabiri mwingine buanaLeo majira ya saa 2;30 Asubuhi inatarajiwa kusomwa hukumu ya kesi inayomkabili kiongozi wa ACT Wazalendo na Mbunge wa Kigoma mjini ZITTO KABWE ambapo kwa wale ambao tumekuwa tukifuatilia kesi hiyo kwa karibu kuanzia kufunguliwa mashtaka usikilizwaji wa mashahidi hatuna budi kusema nafasi ya ZITTO kuchomoka ni asilimia 5 TU.
Ikumbukwe katika kesi hiyo ZITTO anashtakiwa kwa uchochezi kupitia kauli hii aliyoitoa kwenye mkutano wake na waandishi wa habari kuhusu ugomvi kati ya jeshi la polisi na jamii ya wafugaji
"Watu ambao walikuwa ni majeruhi katika tukio la mapambano baina ya wananchi na Poilisi, wakiwa wamekwenda hospitali kupata matibabu katika kituo cha afya Nguruka, Polisi wakapata taarifa kuwa kuna watu wanne wamekwenda hospitali kituo cha afya Nguruka kupata matibabu wakawafuata kule wakawaua.
kwa nini sioni ZITTO AKICHOMOKA
Ugumu wa kuthibitisha kisayansi, kifo cha watu hao (wanne) kilisababishwa na Polisi na sio Magonjwa mengine endapo ni kweli watu hao walikufa. Katika utetezi wake ZITTO alikuwa na mlima mkubwa sana wa kudhibitisha kwamba ni kweli hao watu waliuawa na Polisi,. Hapa ili awe salama alihitajika kuleta ushahidi wa kuthibitisha pasi na shaka ambao ni postmortem za maiti unaothibitisha kwamba waliuawa polisi.
ZITTO kwenye hili hana UJANJA zaidi ya KUIOMBA MAHAKAMA MSAMAHA kwamba kama binadamu alipotoka hivyo apunguziwe adhabu. Wapo wanaopenda ZITTO aendelee kubaki uraiani laikini HISIA hazina nafasi dhidi ya SHERIA.
Wewe mtoa post mbona bado una ufala? Zito katiwa hatiani Na kuhukumiwa mwaka 1 kifungo cha nje kwa sharti la kutotoa neno lolote la uchocheziLeo ikiwa ni siku ya Hukumu ya Mbunge wa Kigoma Mjini, Waandishi wenye Press Cards wamekataliwa kuingia kusikiliza hukumu ya Zitto kwa maelezo kwamba si waandishi wa Mahakama.
UPDATE
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Zitto ameachiwa huru kwa sharti kwamba asitoe matamshi ya uchochezi katika kipindi cha mwaka mmoja.
View attachment 1462392
View attachment 1462266
Zitto kukata Rufaa dhidi ya hukumu yake
View attachment 1462393
Mbona na wewe unazusha sasa?ndumba zake umewahi ziona?Zito ajifunze sasa aache mambo ya kuzusha mtandaoni
Ipo siku ndumba zake za ujiji zitatunda kufanya kazi aozee jela
Mkuu conviction ya mhe. Huruma shaidi kwa zito ni ya ajabu sana, unaposema nimekuachia huru ila usiseme maneno ya uchochezi ndani ya mda fulani ana maana kwamba amemtia hatiani zito?
Kwa nini hawapendi?
Unajifanya mjanja?To me Huru, Hakuna Uchaguzi.
Au sio?Maghufuli Tano Tena