Mahakama yamuamuru Shilole kumlipa Mary Musa TZS 14M kama fidia ya kutokuhudhuria kwenye show

Mahakama yamuamuru Shilole kumlipa Mary Musa TZS 14M kama fidia ya kutokuhudhuria kwenye show

Shilole aangua kilio baada ya mahakama kutoa hukumu kumtaka alipe million 14 za kitanzania kwa Mary Musa.

Mwaka 2017 katika mkesha wa Pasaka Shilole alilipwa mil.3 akatumbuize huko Mbagala lakini alishindwa kutokea kwa wakati hivyo mashabiki kupandwa na hasira na kuharibu Mali ukumbini Hapo.

Mary alifungua kesi kuomba alipwe fidia lakini Shilole akawa anapuuza wito wa mahakama.

Shilole ametakiwa kutoa pesa hizo ndani ya wiki moja la sivyo Mali zake zitashikiliwa.

Crediti: GPL
------------
Safi sana Mahakama, ni wakati sasa wa wanasanaa wetu kujua umuhimu wa kuheshimu sheria na kuheshimu mikataba.
Hapa ndipo unamfahamu rafki wa kweli yaani,nakumbuka kuna kipndi Wema sepenga aliwahi mnusuru Kajala Masanja hyu wapo weng wasanii wawe na umoja kama wanavyshrikiana kweny magroup na maharus cfa kibao
 
haya sasa wale waliomchangia kwenye harusi wamchangie tena kwenye matatizo.....hapa ndio pa kuwajua binadamu vizuri.
kwenye raha wako na wewe kwenye shida uko peke yako
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Uchebe atalipa
Thubutuuu uchebe pesa atoe wapi..........
Hapa ndipo umuhimu wa mwanaume mwenye visenti vyake unapoonekana..... Sasa shishi kaenda kuchukua shida kaioa Leo limempata janga nani atamsaidia
 
Thubutuuu uchebe pesa atoe wapi..........
Hapa ndipo umuhimu wa mwanaume mwenye visenti vyake unapoonekana..... Sasa shishi kaenda kuchukua shida kaioa Leo limempata janga nani atamsaidia
Nuhu mziwanda angelipa fasta
 
Baabeq... Diamond anae bahati sana!! Ingekua kesho ndio harusi ya Shishi alafu Dai akashoboka "Shilole sema unachotaka" tungesikia "Nilipie ile milioni 14( - in shishi's voice!)"
 
Acha kumdanganya uharibufu usingetokea endapo angetokea kwenye show. Kwa hiyo yeye ndio chanzo cha uharibifu

Nimetoa maoni yangu tu mkuu sina haja y'a kudanganya kwani sifaidiki Chochote n'a huo uwongo
 
what if kwenye mkataba pameandikwa m14 kama hatohudhuria? wabongo huwa hatusomi kabisa contract tunapitia juu juu tu au lugha ilimchanganya maana mikataba ya kiingereza mmh

Kibongo bongo sijui kama vipengere vya aina Hiyo kwa avunjaye mkataba huwa wanaviweka, huwa wanafanya kirafikirafiki sana, inawezekana ktk huo mkataba kusiwe n'a hicho Kipengele Sema kaamua kutaja hicho kiasi akikadiria hasara aliyoipata, ila kama unavyosema kama kwenye mkataba hicho Kipengele kipo, itakuwa imekula kwake shilole
 
Ahilole umekanyaga pabaya..utajifunza siku ya pili huo ni wiz wa kuaminika.
 
Ana Mali Gan? Huyo
Angekuwa hajaolewa midume mingi ingejitolea tatizo ndoa Sasa
 
Kweli bongo movie bongo lala yaani unalipwa 3m kwenda kupiga playback nne ndani ya dakika 20 kisha unaleta MAKUzi? Alipe fasta hiyo 14m Ili iwe fundisho kwa Bongo Lala Wenzake.
 
Back
Top Bottom