Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
mapromota mnaotapeliwa na wasanii njoo dm kwa ushauri bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watamuua mkuu. Muonee huruma.Shithole alipe tu hamna namna,alafu wamfungulie Bill of Cost alipe gharama ya kesi na wakili
Wajifunze wamezidi nao
Tena hawa c walikuwa Maccm watajijuuu
Ccm ipo itamchangia
Ina maana Uchebe kaingia na mkosi?Uchebe atakacha sasahivi maana mambo yanaenda arijojo au kama gari bovu
2018 looking good for Dia apo u ccm umekujaj?? shitholeWajifunze wamezidi nao
Tena hawa c walikuwa Maccm watajijuuu
mkuuu wew ni mwanasheria ao babasheria mana naona unazijuwa sanaAkimpata wakili mzuri anaweza kupunguziwa adhabu na kuamriwa arudishe mil 3 aliyolipwa. Suala la uharibifu yeye alimhusu kwani aliyeandaa show alipaswa kuweka ulinzi imara
kwani wao ndio walimwambia asitokee kwenye show??haya sasa wale waliomchangia kwenye harusi wamchangie tena kwenye matatizo.....hapa ndio pa kuwajua binadamu vizuri.
kwenye raha wako na wewe kwenye shida uko peke yako
Shetani wewe......Anipe matako nimlipie hiyo milioni 14 kwa maana uchebe hana pesa
Kwani huyu ni Bongo movie au Bongo flavour??Kweli bongo movie bongo lala yaani unalipwa 3m kwenda kupiga playback nne ndani ya dakika 20 kisha unaleta MAKUzi? Alipe fasta hiyo 14m Ili iwe fundisho kwa Bongo Lala Wenzake.
mkuuu wew ni mwanasheria ao babasheria mana naona unazijuwa sana
Bush lawyer!kwa hiyo thamani ya hela na usumbufu na gharama za uwakili alipe nani?Akimpata wakili mzuri anaweza kupunguziwa adhabu na kuamriwa arudishe mil 3 aliyolipwa. Suala la uharibifu yeye alimhusu kwani aliyeandaa show alipaswa kuweka ulinzi imara
walïlipwa hela na Kikwete katiba mpya,wakalipwa tena kwenye uchaguzi mkuu,dadadeki ajambishwe tu huyu li Ccm lisilo na huruma kwa watanzaniaNyie ndo mtakuwa wauaji. Msiojulikana. Mna dalili zote za kuweka magomvi kwa watanzania. Wakati unalalwa unakuwa unaulizaga Dy..d ni Act Wazalendo Au CDM Au Ccm. Acha kutugawa kijinga. Siasa ni za walaji. Unadhani wanakupenda wee. Utakuwa zwazwa
Bush lawyer!kwa hiyo thamani ya hela na usumbufu na gharama za uwakili alipe nani?