Mada mezani ni Rufaa. Mahakama ya rufaha ilikuwa inapitia pingamizi la hukumu ya awali. Mahakama ilipitia mwenendo mzima wa kesi/hukumu. Humo kuna kulikuwa na maswali na majibu ya mambo tunayojadili hapa jamvini. Kuna uwezekano mkubwa mtuhumiwa alidhindwa kuwakirisha mahakamani kadi ya hiyo pikipiki aliyokutwanayo na upande wa mashitaka ukawakirisha kadi ya umiliki, ivyo kupelekea kukosa utata kwenye umiliki wa pikipiki. Kama kungelitokea utata wa umiliki wa pikipiki kwa kuwa nakadi mbili tofauti basi ingelipelekea TRA kuitwa mahakamani kudhibitisha hizo kadi. Hivyo basi nje ya utata hakukuwa na haja ya ofisa wa TRA kuja mahakamani.
Hivyo Mahakama ya rufaha imebariki hukumu iendelee.