FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Hakuoewa nafasi ya kueleza katoa wapi hiyo pikipiki, hata udhibitisho wa umiliki toka kwa TRA haukuruhusiwa, sasa afanyaje?Kama alishindwa kutoa maelezo ameipataje hiyo pikipiki kwa nini asichukuliwe yeye ndio mtoa roho.
Soma uzi, mi najadili kwa jinsi taarifa zilivyoletwa kwenye uzi.Sijui kama hicho usemacho ni kweli.
Ndugu yangu wewe inaonekana haujawahi kujua mambo ya bodaboda na mikataba yao.. Huenda mmiliki alienda na vielelezo vyote kuanzia kadiHuyo mmiliki halisi kadhibitishwa vipi bila TRA kudhibitisha mahakamani? Na inadhibitishwa vipi ilikuwa inaendeshwa na marehemu muda wa mauaji?
Achana na mambo ya huenda, soma uzi, TRA hawahadhibitisha pikipiki ni ya nani, kwahiyo ukiwa na kadi ya pikipiki basi pikipiki zote zinakuwa zako..?Ndugu yangu wewe inaonekana haujawahi kujua mambo ya bodaboda na mikataba yao.. Huenda mmiliki alienda na vielelezo vyote kuanzia kadi
Hivi vyombo vya Moto si vinaonesha wamiliki wake hata kwenye simu kupitia App za TRA.Achana na mambo ya huenda, soma uzi, TRA hawahadhibitisha pikipiki ni ya nani, kwahiyo ukiwa na kadi ya pikipiki basi pikipiki zote zinakuwa zako..?
Mahakama haingalii kwenye simu. Ni makaratasi tu ndiyo yanatakiwaHivi vyombo vya Moto si vinaonesha wamiliki wake hata kwenye simu kupitia App za TRA.
Ugumu ulikuwa wapi ?
Tutanadhibitisha vipi kwamba hiyo kadi ulinayo ni ya pikipiki tajwa na sio nyingine iliyopo kwingine? , ukizingatia TRA wamezuiwa kutoa udhibitisho?Hivi vyombo vya Moto si vinaonesha wamiliki wake hata kwenye simu kupitia App za TRA.
Ugumu ulikuwa wapi ?
Kwahiyo mtu akiwa na kadi ya pikipiki basi pikipiki zote nchini ni za kwake? Au laa imedhibitishwaje kwamba ile kadi specifically ni ya pikipiki tajwa na si pikipiki nyingine? Maana TRA hawajaruhusiwa kutoa udhibitisho.Mada mezani ni Rufaa. Mahakama ya rufaha ilikuwa inapitia pingamizi la hukumu ya awali. Mahakama ilipitia mwenendo mzima wa kesi/hukumu. Humo kuna kulikuwa na maswali na majibu ya mambo tunayojadili hapa jamvini. Kuna uwezekano mkubwa mtuhumiwa alidhindwa kuwakirisha mahakamani kadi ya hiyo pikipiki aliyokutwanayo na upande wa mashitaka ukawakirisha kadi ya umiliki, ivyo kupelekea kukosa utata kwenye umiliki wa pikipiki. Kama kungelitokea utata wa umiliki wa pikipiki kwa kuwa nakadi mbili tofauti basi ingelipelekea TRA kuitwa mahakamani kudhibitisha hizo kadi. Hivyo basi nje ya utata hakukuwa na haja ya ofisa wa TRA kuja mahakamani.
Hivyo Mahakama ya rufaha imebariki hukumu iendelee.
Mkuu nilichoongelea ni kwenye kesi ya mwanzo iliyokatiwa rufaha. Inaonekana mtuhumiwa hakupinga umiliki wa hiyo pikipiki kwa kuleta vielelezo ndiyo maana hakukuwa na hoja ya TRA kuja mahakamani kudhibitisha.Kwahiyo mtu akiwa na kadi ya pikipiki basi pikipiki zote nchini ni za kwake? Au laa imedhibitishwaje kwamba ile kadi specifically ni ya pikipiki tajwa na si pikipiki nyingine? Maana TRA hawajaruhusiwa kutoa udhibitisho.
Na imedhibitishwa vipi kwamba ile pikipiki ndio aliyokuwa anaendesha marehemu, ukizingatia marehemu hamiliki pikipiki?
Kuhusu umiliki mwendesha mashitaka aliomba docs zote toka TRAKwahiyo mtu akiwa na kadi ya pikipiki basi pikipiki zote nchini ni za kwake? Au laa imedhibitishwaje kwamba ile kadi specifically ni ya pikipiki tajwa na si pikipiki nyingine? Maana TRA hawajaruhusiwa kutoa udhibitisho.
Na imedhibitishwa vipi kwamba ile pikipiki ndio aliyokuwa anaendesha marehemu, ukizingatia marehemu hamiliki pikipiki?
Inaonekana? Inaonekana wapi sasa?Mkuu nilichoongelea ni kwenye kesi ya mwanzo iliyokatiwa rufaha. Inaonekana mtuhumiwa hakupinga umiliki wa hiyo pikipiki kwa kuleta vielelezo ndiyo maana hakukuwa na hoja ya TRA kuja mahakamani kudhibitisha.
Kwahiyo mtu akiwa na Document ya pikipiki basi tayari, pikipiki yoyote anayotaka inakuwa yake si ndio?Kuhusu umiliki mwendesha mashitaka aliomba docs zote toka TRA
Mkuu jaribu kunielewa. Hapa hatuzungumzii. Bali ni uhamuzi wa mahakama ya rufaha dhidi ya mapitio ya kesi ya hawali.Kwahiyo mtu akiwa na Document ya pikipiki basi tayari, pikipiki yoyote anayotaka inakuwa yake si ndio?
Na kuna udhibitisho gani hiyo pikipiki alikuwa anaendesha marehemu, maana marehemu hamiliki pikipiki
Ndio maana tunasema hao majaji ni wahuni, maana wamekataa TRA wasije kudhibitisha, kama yalijibika tupe majibu basiMkuu jaribu kunielewa. Hapa hatuzungumzii. Bali ni uhamuzi wa mahakama ya rufaha dhidi ya mapitio ya kesi ya hawali.
Hayo unayouliza inawezekana yote yalijibika kwenye hukumu iliyopingwa.
Shitaka lilikuwa kuua na siyo umiliki wa pikipiki.
Nikisema inaonekana ni kwa sababu hatuna hiyo hukumu hapa jamvini. Pia majaji wa mahakama ya rufaha tena 3 hawawezi fanya makosa ya wazi kiasi hichoInaonekana? Inaonekana wapi sasa?
Kwamba wao ni malaika? Joke on youNikisema inaonekana ni kwa sababu hatuna hiyo hukumu hapa jamvini. Pia majaji wa mahakama ya rufaha tena 3 hawawezi fanya makosa ya wazi kiasi hicho
Hawawezi?, ndio wameweza sasa, wamekataa vipi TRA kufanya udhibitisho, ni wahuni hao majajiNikisema inaonekana ni kwa sababu hatuna hiyo hukumu hapa jamvini. Pia majaji wa mahakama ya rufaha tena 3 hawawezi fanya makosa ya wazi kiasi hicho
Wengi wanafungwa shauri ya kushindwa kujieleza.Mahakama za TZ ktk ubora wao.