Mahakama yastukia utapeli wa Mchungaji, yaamuru arudishe milioni 15 alizotaka kumtapeli muumini wake kwa kusingizia zaka

Mahakama yastukia utapeli wa Mchungaji, yaamuru arudishe milioni 15 alizotaka kumtapeli muumini wake kwa kusingizia zaka

pitia hii

Thread 'Hamna watu wanaotapelika kirahisi kama waumini wa dini hii' Hamna watu wanaotapelika kirahisi kama waumini wa dini hii
Ila mwisho wa siku kuna watu wanaaminishwa eti watapewa mabikira 72 huko peponi na pia mito ya pombe itatirirka kwenye vinywa vyao!! iwapo tu watawaua raia wasio na hatia kwa kutumia mabomu, bunduki au majambia makubwa!!

Hakika dini ni ugonjwa mbaya sana. Dini inajenga chuki na ubaguzi baina ya ndugu! Kuna watu wanawaona wageni ni ndugu zao halali, kuliko wale ndugu zao wa damu!!! Kweli kuna mambo yanastaajabisha sana.
 
Dini nyingine ndio ugonjwa Ila uislam ni neema tupu
silimu usalimike ewe kafir Kuna adhabu kubwa iumizayo kesho akhera
 
shetani anafurahi sana kuleta mada hii ili kuwapofusha macho wanadamu waamini kuwa kutoa fungu la kumi sio sahihi. hii ni nyenzo anaitumia kuwarudisha nyuma kutoa fungu la kumi. ukweli ni kwamba, duniani hasa katika makanisa yetu wapo wachungaji wanaotumiwa na Mungu na wapo waongo na matapeli pia, wamejichanganya kwa ajili ya kupata kitu. hilo halimaanishi kuwa wachungaji wote ni waongo au kutoa fungu la kumi ni kosa. hilo ni agizo la Mungu na wale tu waliokutana na Mungu wakalijua hili ndio wanajua ninachokisema. toeni fungu la kumi, ila toeni mahali sahihi, usitoe kila mahali tu kwasababu unaweza kujikuta umetoa hata kwa mashetani au maajenti wa shetani kama hao wauza mafuta na manabii wa uongo wa arusha na kwengine. toa mahali Mungu wa kweli anaabudiwa, hasa pale ambapo unalishwa chakula chako cha kiroho. ni agizo la Mungu na hata shetani akileta makandokando kulichafua, litabaki hivyo milele.
FuNgu la 10 ni mambo ya Agano la Kale. Wafuasi au Wanafunzi WA Yesu Kristo hawakupewa amri hiyo.
 
Dini nyingine ndio ugonjwa Ila uislam ni neema tupu
silimu usalimike ewe kafir Kuna adhabu kubwa iumizayo kesho akhera
Halafu nikisilimu mtanigawia na lile jini lenu linaloitwa Jini Maimuna kama zawadi!! Nataka liwe mke wangu wa pili.

Maana sitaki ile ahadi hewa ya kupewa mabikira 72, halafu mito ya pombe itiririke kwenye mdomo wangu baada ya kujitoa mhanga na kuua watu wasio na hatia.
 
FuNgu la 10 ni mambo ya Agano la Kale. Wafuasi au Wanafunzi WA Yesu Kristo hawakupewa amri hiyo.
kuna mambo mengine mnaweza kubishana wee, kama wanadamu na katika kutafsiri maandiko, msifikie conclusion. ikitaka kupata majibu, mwulizeni Roho Mtakatifu awaongoze mioyoni mwenu au awathibitishie. unajua mjadala huu wote wa kutoa au kutokutoa ni mkono wa choyo wa mwanadamu kwa Mungu ambaye ni mpaji wa vyote. Mwanadamu siku zote huwa hana moyo wa kutoa, analazimishwa tu, ni mchoyo wakati huohuo anamwomba Mungu amsaidie, ila kile alichobarikiwa kukitoa kwa Mungu anaona choyo. kwa namna Mungu anavyotupenda na kutujalia vitu, hatukutakiwa kuwa na mjadala huu, ilitakiwa sisi ndio tutafute fursa za kumtolea Mungu sio kutafuta namna ya kukwepa kumtolea Mungu. wote wanaopinga fungu la kumi mioyo yao inafurahi sana wakifanikiwa kupata sababu ya kutokumtolea Mungu, wanatafuta sababu ya kuhalalisha kutokumtolea Mungu. hawajui kwamba hakuna kilichoenda kwa Mungu kisisababishe jambo in return. hivi kweli, tunashinda kupoteza muda tukitafuta justification za namna gani tunaweza tusimtolee Mungu? kweli? na wakati huohuo tunapiga magoti tunamwoma Mungu atubariki. kumtolea Mungu ni opportunity, sio mzigo.

Nadhani, ifike mahali, Roho Mtakatifu atuongoze, na pia, matokeo ya maisha yatuongoze. binafsi nilishasema, siku zile natoa fungu la kumi, maisha huwa ni tofauti kiroho na kimwili, siku zile nisizotoa maisha huwa magumu na mabaya kiroho na kimwili, nastruggle sana kupata pesa nisipotoa, ila nikitoa situmii nguvu kuubwa na Mungu ananiepusha na mambo mengi sana ambayo yangeniathiri na ananisaidia kujua kwamba ameniokoa kwenye hayo mambo. demonstrations hizi zimenifanya niamini, na Roho Mtakatifu amenishuhudia kwamba kutoa fungu la kumi ndio njia sahihi na nisipotoa nitapata shida kwasababu nakuwa nimeiba toka kwa Mungu. Basi roho zenu ziwashuhudie na mchague fungu mnalolitaka. na wale wanaotamani kujaribu/kuonja ili wajue kwamba Bwana ni mwema, fanyeni practicle, toeni fungu kwa miezi kadhaa, na baadaye muache kwa miezi kadhaa, ili mlinganishe hali halisi maishani mwenu kipindi kile mlitoa na kipindi ambacho hamkutoa. ni wakati gani madirisha na milango ya baraka ilifunguliwa, na wakati gani haikufunguliwa, ukimjaribu Mungu kwa njia hii, yeye ni mwaminifu, kwasababu anajua unatafuta ukweli, atakuonyesha ukweli wake. Mungu atusaidie.
 
My Take
Wachungaji wa Makanisa ya Voda fasta tafuteni kazi za kufanya badala ya kutapeli Waumini Kwa visingizio vya Zaka za bwana.

====

Mgogoro wa ama ni mkopo au sadaka ya fungu la kumi (zaka) baina ya Mchungaji John Mtuka wa Kimara na muumini wake, Neema Wawa umehitimishwa na Mahakama Kuu ikibainisha ni mkopo unaostahili kurejeshwa.

Muumini huyo alimfikisha mahakamani mchungaji huyo akimdai Sh15 milioni alizomkopesha, huku mchungaji huyo akidai fedha hizo hazikuwa mkopo, bali zilitolewa kama sadaka ya fungu la kumi kwenye kanisa wanaloabudu (halikutajwa), shauri ambalo limefika hadi mahakama kuu.

Hata hivyo, katika hukumu yake, Jaji John Nkwabi wa Mahakama Kuu ya Tanzania masjala ya Dar es Salaam, alisema fedha hizo, hazikuwa fungu la kumi wala sadaka ya ujenzi kama mchungaji alivyokuwa anaeleza, bali ulikuwa ni mkopo.

Hayo yamo katika hukumu ya Jaji Nkwabi iliyotolewa juzi kuhusu rufaa ya kesi iliyokuwa imekatwa na Mchungaji Mtuka, akipinga hukumu ya mahakama ya Wilaya ya Kinondoni ya Agosti 2, 2022 iliyompa ushindi Neema Wawa.

Katika hukumu hiyo, Jaji Nkwabi alianza kwa kusema rufaa hiyo inashangaza kwa sababu wadaawa walikuwa na mahusiano ya mchungaji na muumini na muumini alikuwa akihudhuria kanisani ambako mchungaji aliweza hadi kufahamu ukwasi wake.

“Ilitokea pale uwezo wa kifedha wa mjibu rufaa (Neema) ulipokaa sawa, mrufani (mchungaji) alifahamu kupitia fungu la kumi alilokuwa akilitoa, suala ambalo kiukweli ndiyo mahitaji ya mafundisho ya dini,” alieleza Jaji.

“Wakati mchungaji anadai muumini wake alilipa Sh5 milioni kama fungu la kumi, muumini wake anasema alilipa tu Sh1 milioni kama fungu la 10. Kwa maoni yangu utata wa hii kesi ulianzia hapa, ukichanganya na madai ya michango ya ujenzi,” alisema.

Mwananchi
Dini ya utapeli hii
 
hayo makanisa ukisali tu cha kwanza wanachochunguza ni kipato chako ili wakupige zongo then waanze kukutapeli!
utakuja kukumbuka shuka kumekuchwa na jehanum inakupokea. yapo makanisa mengi hasa hayo ya manabii wauza mafuta, hayo ni ya uongo, ila wapo walokole wazuri tu hawapo kwenye hayo makanisa, wanaishi na wanamwona Mungu maishani mwao.
 
shetani anafurahi sana kuleta mada hii ili kuwapofusha macho wanadamu waamini kuwa kutoa fungu la kumi sio sahihi. hii ni nyenzo anaitumia kuwarudisha nyuma kutoa fungu la kumi. ukweli ni kwamba, duniani hasa katika makanisa yetu wapo wachungaji wanaotumiwa na Mungu na wapo waongo na matapeli pia, wamejichanganya kwa ajili ya kupata kitu. hilo halimaanishi kuwa wachungaji wote ni waongo au kutoa fungu la kumi ni kosa. hilo ni agizo la Mungu na wale tu waliokutana na Mungu wakalijua hili ndio wanajua ninachokisema. toeni fungu la kumi, ila toeni mahali sahihi, usitoe kila mahali tu kwasababu unaweza kujikuta umetoa hata kwa mashetani au maajenti wa shetani kama hao wauza mafuta na manabii wa uongo wa arusha na kwengine. toa mahali Mungu wa kweli anaabudiwa, hasa pale ambapo unalishwa chakula chako cha kiroho. ni agizo la Mungu na hata shetani akileta makandokando kulichafua, litabaki hivyo milele.
Fungu la kumi nisahihi tena utoe makanisa yanayoeleweka RC ,LUTHERAN ,SABATO , NA KUNA KANISA MOJA TU BASI HAYO MENGINE MMH!HAPANA
 
Fungu la kumi nisahihi tena utoe makanisa yanayoeleweka RC ,LUTHERAN ,SABATO , NA KUNA KANISA MOJA TU BASI HAYO MENGINE MMH!HAPANA
sasa makanisa yote umetaja hapa, hakuna hata moja linamwabudu Mungu katika Roho na Kweli, manake hayana Mungu hivyo ukitoa umetoa sehemu ambayo hakuna Mungu. tunasema hayana Mungu kwasababu hawaamini kuokoka, wanaabudu dini, na hawaamini ujazo wa Roho Mtakatifu ambaye ndiye nyenzo ya wokovu Yesu alituachia. toa sadaka yako sehemu ambapo Mungu yupo, sio kwa mitume na manabii wa uongo hawa, na sio kwa hawa uliowataja, ila kwa makanisa yanayoamini wokovu bila kuuza bidhaa hizo za siku hizi.
 
Basi mpaka hapo unamatatizo na unahitaji kueleweshwa na muda huo sina hujanipa charge fee yakukuelewesha
 
Back
Top Bottom