Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
....pointNi kweli ila kwenye hii kesi ishu ya msingi ni ilikuwaje tigo waliamuriwa kulipa wakati wanasema walichukua kutoka kwa wakala na kiutaratibu hao mawakala (Cellulant) inabid walipwe na Tigo sasa hizo hela zilienda wapi na hapo mahakamani Cellulant waliitwa? na kama waliitwa walijiteteaje hadi ikafikiwa tigo ndio walipe?