mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Nani?anafilisiwa mkuuSasa ndiyo wanafilisiwa Mazimaa!! na kudhalilishwa
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani?anafilisiwa mkuuSasa ndiyo wanafilisiwa Mazimaa!! na kudhalilishwa
Huo ushindi wa pili aliupata bila kura za wajumbe? Kuwa wa pili kwenye kura za maoni kunapatikana bure bure tu... mwana fa alipigiwa kura na wajumbe karibu 300.. je hao wajumbe wangempigia kura bure bure tu.. labda huijui ccm na seke seke za kuupata ubunge unahitaji bajeti ya bei gani.. mjumbe mmoja tu uipate kura yake haipungui laki 2 anapoozwa na mgombea
Hata kama ni ushabiki, huu sio ushindani wa kibiashara (which is acceptable) bali huu ni wizi(which is not acceptable) hauwez kuwa pessimist uharibu taratibu na mambo ya watu tukuchekee, hata kama ni feelings za kishabki katika hili tunashauriana tu kwa maslahi mapana.Ahaghh aghh sasa huko Ni kulazimishana kihisia boss huo Ni ukoloni mambo leo
Sio lazima kile unacho kipenda wewe ninacho kipenda mie Basi mtu mwingine nae akipende vivyo hivyo ' Tigo Ni kampuni Ay na FA ni wasanii kwanamna moja ama nyingine kampuni ya Tigo na hao wasanii wote Ni lazima watakuwa na mashabiki zao kwa sababu wote kwa pamoja Huduma wanazo zitoa zina gusa maisha ya watanzania directly
So kwa mantiki hiyo Tigo hawawezi kukosa mashabiki na kina AY na FA Hawawezi kukosa mashabiki pia
Kutaka watu wote washabikie upande Mmoja tu As if wote tuna moyo Mmoja unatoa tafasiri 1 ya kichocheo cha hisia huo sasa Ni ubinafsi na kutaka kuchaguliana maamuzi
Yes walishalipwa na walishakula, mahakama imeamuru warudishe au mali zao zishikiliwe
Wajumbe 300 kura 70?
Kitambo Sana keshafariki na ni kwa issue hizi hizi za kuvuta mpunga wa watu.Nambie mzee mwenzangu!
Unasema hakim ni marehemu sahv kivipi?
Kwani kavuta
Ova
Ulitegemea msando tapeli ashinde kesi bila kuhonga?hana historia ya kushinda kesi bila rushwa sasa mgao unamtokea puani chawa wa ccm.....yani lazima degedege limpate halafu mama DI melo hajui kuremba kesi wala kula rushwa yao
Unaongea SPECULATIONS tu....Kama ulishuhudia wajumbe wakihongwa basi SAWA.....
Kamati Kuu ndiyo iliyopitisha jina la mh.FA na kumuacha mshindi wa kwanza mh.Adadi Rajabu....
Kwa hiyo mh.FA aliihonga kamati kuu chini ya mwenyekiti wetu ?!!
Nenda kasome Hiyo Judgement kuna grounds 10 za wao kukata rufaa usijifiche kwenye sababu moja.Nafikiri kina FA watashinda tena,maana hoja iliyotengua hukumu ni jurisdiction na wala sio kwamba Tigo hawakutumia caller tune ya kina FA ..so madai ya msingi bado yana mashiko kama kuna ushahidi wa kuridhisha
ni sawa na kusema mtu amekamatwa ugoni then mshenga akasolve issue kwa kuamua talaka itoke..baadae mke akapinga kuwa mshenga hana mamlaka ya kuamulia talaka bali sheikh..madai ya msingi ni ugoni na sio muhusika alieamulia kesi
Dah aise ila mahakimu wasiyofata kanuni za kaziKitambo Sana keshafariki na ni kwa issue hizi hizi za kuvuta mpunga wa watu.
Kavuta halafu hakuandika hukumu inayotakiwa waswahili wakafanya yao.
Ukute unabishana na ligongwa liko milembedah ila we jamaa inaonekana pichani unakichwa kikubwa lakini mgumu wa kuelewa asee
iiNani?anafilisiwa mkuu
Ova
Rudia tena kupitia hiyo article. Tigo alikiwa hadeal na wasanii moja kwa moja. Kampuni ya cellurnet alikuwa dalali. Anaongea na wasanii anakubaliana dau na kusaini nao mkataba. Then anaenda kwa makampuni ya simu kuwauzia haki za kutumia nyimbo zao. Kwa hiyo anakula cha udalali. Na tigo ana mkataba na hiyo kampuni. Na kwenye utetezi wao Tigo wanasema anaetakiwa kudaiwa ni hiyo kampuni na sio Tigo.Lakini tukumbuke kwamba pamoja na yote haya, haiondoi ukweli kwamba tigo iliwaibia jamaa kwasababu mpaka sahizi hawana hoja/ushaidi kwamba walizitumia zile nyimbo kihalali ila wana hoja moja tu ya kiutendaji ya mahakama/sheria ambayo haiingilii kwenye kesi yenyewe hasa!
Ndio najua, sasa kwanini mahakama iliamuru tigo walipe na sio Cellulant inaonekana kuna kitu kipo katikatiRudia tena kupitia hiyo article. Tigo alikiwa hadeal na wasanii moja kwa moja. Kampuni ya cellurnet alikuwa dalali. Anaongea na wasanii anakubaliana dau na kusaini nao mkataba. Then anaenda kwa makampuni ya simu kuwauzia haki za kutumia nyimbo zao. Kwa hiyo anakula cha udalali. Na tigo ana mkataba na hiyo kampuni. Na kwenye utetezi wao Tigo wanasema anaetakiwa kudaiwa ni hiyo kampuni na sio Tigo.
Niambie tena hiyo NEC nimeiongelea wapi?!!!Unaongelea NEC huku Unajibu hoja iliyoongelea ushindi wa pili alivyoupata kwa wajumbe.. ndio maana faiza foxy huwa anasema shuleni mmeenda kusomea ujinga
Unachosema kinaweza kua kweli au si kweli
Kama ulikua nao na unajua inner workings ya MIC kwenye hii issue huenda ukawa unasema kweli
Ila kama ndio kama mimi hapa tunajaribu ku-analyze kwa kutumia common sense zetu ya jinsi MIC ilivyofanya,huenda tukawa tunadanganya
Hopeful labda unajua hasa kwa undani huko MIC walifanyaje kwa uhakika
😲😲Hii kesi walishindwa tangu mwanzoni kabisa. Akaja Alberto Msando akanunua kesi wakacollude na mahakimu na watu wa Tigo kesi ikaisha wakavuta hela fasta yaliyoendelea mnajua. Nadhani watu wa Tigo walidelay kuappeal ili hela zilipwe wasepe zao, ukifuatilia unaweza kuta wote waliokuwa wanahusika upande wa Tigo walishatimua zao
Niambie tena hiyo NEC nimeiongelea wapi?!!!
Hivi unaujua mchakato wa ubunge CCM?!!