Mahakama yatengua hukumu ya kina Mwana-FA, AY na Kampuni ya tiGO

Mahakama yatengua hukumu ya kina Mwana-FA, AY na Kampuni ya tiGO

Jamaa he
Halafu kuna milamba matako humu ilisema hawa mafala walishapewa hiyo hela...

Masikini wale
Jamaa hela walishapewa. Tigo hawakukata rufaa ndani ya muda wa rufaa, wakalipa baada ya account zao kukamatwa. Wakaomba kibali cha kukata rufaa nje ya muda wa rufaa. Wakapata ndipo wakakata rufaa.
 
Ameniibia mke?Hakuna cha FA au AY au XYZ or whatever anaweza nibia mke mzee...

They are just poor rappers mzee...hakuna mwenye hela hapo...

Unasema umasikini mbaya as if unajua networth yangu,umegeuka mtabiri?

Umasikini mbaya labda kwao you are referring!

Hakuna mbingu mzee,bado unaendeleza ubashiri ambayo ni kazi ya waganga!

Get this,rapper yeyote Tanzania ni masikini,hutaki andamana!
😀😀😀
 
Kwani wao walilipwa kidogokidogo? Tena walizuia akaunti. Ngoma ngumu hii mkuu.
Lakini tukumbuke kwamba pamoja na yote haya, haiondoi ukweli kwamba tigo iliwaibia jamaa kwasababu mpaka sahizi hawana hoja/ushaidi kwamba walizitumia zile nyimbo kihalali ila wana hoja moja tu ya kiutendaji ya mahakama/sheria ambayo haiingilii kwenye kesi yenyewe hasa!
 
Lakini kumbuka hoja ya huyo hakimu ni moja tu na ambayo haina mashiko, ambapo haibaidilishi ukweli kwamba tigo waliwaibia hao jamaa (this is unchanged) kwahiyo jamaa wakiamua kuendelea na madai kwamba walipwe watalipwa tena kwa kiwango cha 4bills wakisimama kidete
Tigo kanunua kwa dalali aseee.
 
Huyo hakimu ni marehemu kwa Sasa.

Na kilichomtokea ni kuvuta mpunga kwa wadaawa (wanaoshtakiana) halafu hakutoa maamuzi yanayowafurahisha.

Jamaa kumfuata na kumuuliza kwanini katoa hukumu ya aina hiyo, akawajibu mbovu.

Wakamtengeneza, baada ya siku kadhaa jamaa kaugua, ikawa safari.
 
Sasa hapo hasara itakuwa Kwa hao vijana, maana waliopewa mgao kama mawakili na wadau hawawawezi kurudisha pesa. Hapo mwana FA na AY inabidi wahangaike wenyewe ikiwemo kuwalipa mawakili upya. Nilichogundua mawakili wengi ni watoto WA mjini
Msando ndo alikuwa wakili wao.
 
Unaumia jamaa kupiga hela ka wamekuibia mke. Umasikini mbaya sana.

Kama mbingu ipo naamaini watajaa matajiri tu.
Cha msingi tuangalie namna gani tunaweza wafungulia kesi za wizi wa zile cent wanazojimegeaga ukiacha salio bila kujiunga kifurushi. Fidia yangu wakinilipa hata Mil. 100 tu inantosha. Nilegeze vyuma tu.
 
MIC wamefeli,hawakutakiwa kulipa kwanza wakati wameenda kukata rufaa higher court..

MIC huko ndani ni lazima kulikua na watu wamekula njama na hawa viazi akina AY walipwe fasta wagawane...

MIC hawakutakiwa kulipa chochote kabisa maana rufaa was on!

Plus,mtu fala ni mtu sio smart kwenye kitu fulani ila anaweza kua smart kwenye kitu kingine,nothing wrong with fala...

Na pia sio lazima niwapende FA na AY,silazimishwi kuwapenda...I can as well hate them!
Lakin kumbuka walichelewa kukata tufaa(obviously walikubali kulipa) then akatokea mtu akawapanga wakakata rufaa nje ya muda wa rufaa.
 
Mwana FA ashaenda Sana OLD Trafford kucheki game za MAN UTD 😂😂😂!

Kimsingi Tigo wakaushe tu wajue walishapigwa tu mapema.
Mashabiki wenzie 500 ya kibanda umiza kwa Ujugu Arena hawana,wanasubiri matokeo,yeye anaenda muona Lingaard akitoa boko Old Trafford.
 
Mkuu deni linafunga kwa mtindo ule ule AY na FA waliotumia kukamata akaunti za tigo. Muhimu hukumu iwe imetoka kwa faida yako wewe unayedai. Wanaita civil prisoner, lengo ni kukutia presha ulipe deni la watu.

Ndo itabidi washike mali zenye thamani ya 2B za hao jamaa napo ni kama wanazo hizo mali kwa majina yao.
 
Back
Top Bottom