Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
🤣🤣🤣wataalamu wa kunusa tunasema hivi, wakili wa tiGo ameongea na Washitaki kuwa ataishawishi tiGo kukata rufaa halaf atashindwa kesi ili wasanii walipwe 4 Bilioni ili wamgawie yeye (wakili wa tiGo) 1Bilioni halaf wasaniii wabaki na 3Bilioni.
halafu mchezo utakua umekwisha.
Yaani issue sensitive na confidential ya "watu" kupiga...unuse wewe?!?!
Looh...kweli CONSPIRACY THEORIES are not factual....
Hongera mnusaji..🤣