Pastory Kimaryo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 967
- 668
"Tigo katika utetezi wake kupitia kwa mkuu wa kitengo cha burudani na miradi David Zakaria, alidai kuwa MIC ilipelekewa nyimbo hizo na kampuni ya Cellulant Tanzania Limited, waliyoingia nayo mkataba wa kisheria kwa huduma hiyo na kwamba ndio inapaswa kuwalipa wasanii husika"Na hizi kampuni zibadilike Sasa....
Unatumiaje CALLER TUNER(mwitiko wa simu) za msanii bila ya ruhusa yake...bila ya mkataba naye?!!!
Haya mambo ndiyo yanayorudisha nyuma wasanii na nchi yetu...
Wao makampuni wanakunja kiasi gani kutokana na "unyongaji huo"?!!!
Sasa tuseme tigo walikubali kuwalipa wao wenyewe wakati wamechukua wimbo kwa dalali au ndio hatujui makubaliano kati ya Cellulant na Tigo yalikuwaje?
Lakin naamini hao wasanii nyimbo zao kweli zilikuwa zinatumika bila makubaliano