Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
....pointNi kweli ila kwenye hii kesi ishu ya msingi ni ilikuwaje tigo waliamuriwa kulipa wakati wanasema walichukua kutoka kwa wakala na kiutaratibu hao mawakala (Cellulant) inabid walipwe na Tigo sasa hizo hela zilienda wapi na hapo mahakamani Cellulant waliitwa? na kama waliitwa walijiteteaje hadi ikafikiwa tigo ndio walipe?
Hii nchi ina wapumbavu Sana nenda kasome Hiyo Judgement kuna grounds kumi zimewekwa wewe unaleta upuuzi wako wa sababu 1.Lakini kumbuka hoja ya huyo hakimu ni moja tu na ambayo haina mashiko, ambapo haibaidilishi ukweli kwamba tigo waliwaibia hao jamaa (this is unchanged) kwahiyo jamaa wakiamua kuendelea na madai kwamba walipwe watalipwa tena kwa kiwango cha 4bills wakisimama kidete
Nimekuuliza kama ulivyonijibu unasema NINATAKA UBISHI...😲Sijachangia uzi kubishana na wewe.. kasome tena kama hujaelewa nilichoandika achana nacho.. imeisha hiyo
Pumbavu hii ni sheria mkiambiwa msome hamtaki ona unavyolonya lonya.Lakini tukumbuke kwamba pamoja na yote haya, haiondoi ukweli kwamba tigo iliwaibia jamaa kwasababu mpaka sahizi hawana hoja/ushaidi kwamba walizitumia zile nyimbo kihalali ila wana hoja moja tu ya kiutendaji ya mahakama/sheria ambayo haiingilii kwenye kesi yenyewe hasa!
Siwezi kujua ukweli ila kwa upande wangu naweza kusema inaonesha labda hukupendezwa na ushindi wa kesi kwa hao jamaa ila sijui sababu ni nini.Wewe unakubaliana nae katika Hilo !?
Mkuu mbona unapenda sana kutukana mawazo tofauti nawe?!!Hii nchi ina wapumbavu Sana nenda kasome Hiyo Judgement kuna grounds kumi zimewekwa wewe unaleta upuuzi wako wa sababu 1.
Hii nchi imejaa mataahira sampuli yako.
Sana na jamaa alikua mtu wa swala tano,Dah aise ila mahakimu wasiyofata kanuni za kazi
Wanakutanaga na mengi
Ova
Hukumu ya kesi ya awali,imefutwa kutokana na makosa ya kiufundi,mahakama iliyotoa hukumu ya Kwanza,haikuwa na uwezo huo,yenyewe inahusika na kutoa hukumu kwenye mashariki yasizozidi thamani ya millioni 300!,sasa hiyo mahakama ya wilaya,ilitoa hukumu kwenye shauri lenye thamani ya zaidi ya billioni moja na busy.Aisee! Kina MwanaFA hela zao si walilipwa kwa hukumu ya Mahakama? Sasa wao kosa lao nini hapo mpaka kusema mali zao zitakamatwa?
Wataalamu wa sheria mje hapa kutusaidia kuelewa hili jambo.
Hivi wewe chizi unaongea nini , Jamii forum now days great thinkers ni wa kuchambua aseehNdio najua, sasa kwanini mahakama iliamuru tigo walipe na sio Cellulant inaonekana kuna kitu kipo katikati
Hao tigo ukute ndio haohao Cellulant Ltd
Kimsingi Tigo hawana shida na hiyo pesa (kama utaangalia faida na mtaji wao kwenye biashara) lakini wanakomalia hiyo kesi ili kulinda legacy na reputation yao kibiashara, ambayo ndio inawavutia wamiliki wake kuendelea kuweka pesa za kwenye hiyo kampuni hapa Tanzania.Hawa tigo nao....bil2 tu $1million?? Ndio wanazungushana Hivi court
Kampuni kubwa kama tigo?
Tena nyimbo walizitumia
Sent using Jamii Forums mobile app
👍👍Ndio najua, sasa kwanini mahakama iliamuru tigo walipe na sio Cellulant inaonekana kuna kitu kipo katikati
Hao tigo ukute ndio haohao Cellulant Ltd
...jibu hoja...Hivi wewe chizi unaongea nini , Jamii forum now days great thinkers ni wa kuchambua aseeh
Hiv we unajua unachobwabwaja hapa, au umejaa chawa wanakusumbua kichwani yani ubongo umeoza hadi nafsi unashindwa kuicontroll mwehu wewe, siku ya hukumu ulikuwepo? Unajua kama Cellulant waliitwa au la? Au wewe ndio hakimu? Aya tuambie kesi iliendeshwaje mbwa wewe. Siku nyingine uwe na taarifa za kutosha, kwanza unajua kwamba huyo hakimu alishafariki. Pole sana ila nina wasi wasi umerukwa na kichaa wewe.Hivi wewe chizi unaongea nini , Jamii forum now days great thinkers ni wa kuchambua aseeh
....Linda reputation yako kwa KUTODHULUMU JASHO LA WENGINE....Kimsingi Tigo hawana shida na hiyo pesa (kama utaangalia faida na mtaji wao kwenye biashara) lakini wanakomalia hiyo kesi ili kulinda legacy na reputation yao kibiashara, ambayo ndio inawavutia wamiliki wake kuendelea kuweka pesa za kwenye hiyo kampuni hapa Tanzania.
...ameanza kunitukana mimi,then amekuja kwako....yaani hawezi majadiliano bila ya matusi na kutukana...kwa akili yake anadhani akitukana ndio atazuia watu kudiscuss 🤣🤣Hiv we unajua unachobwabwaja hapa, au umejaa chawa wanakusumbua kichwani yani ubongo umeoza hadi nafsi unashindwa kuicontroll mwehu wewe, siku ya hukumu ulikuwepo? Unajua kama Cellulant waliitwa au la? Au wewe ndio hakimu? Aya tuambie kesi iliendeshwaje mbwa wewe. Siku nyingine uwe na taarifa za kutosha, kwanza unajua kwamba huyo hakimu alishafariki. Pole sana ila nina wasi wasi umerukwa na kichaa wewe.
Nina hakika wewe ni mwehu, yani from the look of your reaction kwa haraka haraka mtu atasema una mental uneasiness, una mental disorder. Yawezekana wewe ni msomi lakini umerukwa na akili and this is a tragedy to our country na hii ndio njia ya kudeal na watu wa namna yenu ili muikumbuke sober mupone, badala ya kujibu kilichoandikwa unanza kusingizia usomi, hell is yours!Pumbavu hii ni sheria mkiambiwa msome hamtaki ona unavyolonya lonya.
We unafikiri kwa nn AY alikimbilia kununua nyumba US, alijua kuna siku itawarudi.Sana na jamaa alikua mtu wa swala tano,
Hii kesi kwa uzoefu kidogo nilionao ipo wazi kuwa Dili limechezwa na watu wa ndani wa Tigo kwani wao ndio wanaolipa, fedha haiwezi toka bila wao kuauthorize malipo.
Haiwezekani kuna likelihood ya kukata rufani halafu mnalipa mtu haraka haraka namna hiyo.
Achana naye mwehu huyo, naweza kuamink huyu jamaa ni msomi lakini atakuwa na trojans hasa kwenye medulla shenz kabisa!...ameanza kunitukana mimi,then amekuja kwako....yaani hawezi majadiliano bila ya matusi na kutukana...kwa akili yake anadhani akitukana ndio atazuia watu kudiscuss 🤣🤣