Mahakama yatengua hukumu ya kina Mwana-FA, AY na Kampuni ya tiGO

Hivi wakishinda tena hawawezi wakawa sue kwa fidia ya kuwaletea stress 🤣🤣😊😊😊
 
Dooh,,hili boko hili
 

Duh 🙄😲😲 hii lazima nikaichek
 
Mkuu hukumu iliyotoka imetengua maamuzi so kesi itaanza kusikilizwa upya,sio kwamba haya maamuzi yaliyotoka sasa ndio final decision
Mkuu kuna kitu kinaitwa res judicata
"The matter have been decided amicably"
Hakuna room ya kufungua fresh case tena
 
Kaka FA na AY hakika mmepambania JASHO lenu....na Allah hakika atawalindia aaamin aaamin....

Ninyi Ni alama ya vijana majasiri mliovunja MINYORORO ya wizi katika industry ya MUZIKI....walidhulumiwa kina kaka Sugu..wakapaza SAUTI....ninyi hamkupaza sauti tu bali mlichukua HATUA MUJARABU......

Mahakama ni kwa wote....
Endeleeni kupambania CHENU huko....aaamin

BEST WISHES....
 
Kwa uelewa wangu mdogo wa sheria..hii ngoma inabidi hela zirudi then ngoma ianze upya mahakama kuu na kama FA wakishinda walipwe kihalali sasa..Au nimekosea
Hizo hela hawana saivi

AY kaenda olea Rwanda na na vi-yatch vyake huko seacliff

FA kajengea huko mbweni na kaanzishia unyunyu

Nimeguess tu Ila Mimi sio hater[emoji14][emoji14][emoji1][emoji1][emoji1787][emoji3577]
 
Hizo hela hawana saivi

AY kaenda olea Rwanda na na vi-yatch vyake huko seacliff

FA kajengea huko mbweni na kaanzishia unyunyu

Nimeguess tu Ila Mimi sio hater[emoji14][emoji14][emoji1][emoji1][emoji1787][emoji3577]
Inatakiwa mahakama iliyokosea(Serikali) ilipe hiyo hela...Kesi ianze tena mahakama kuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
N

Msando anamamlaka ya kukamata akaunti ya mtu bila kibali cha mahakama? Sasa nani kafanya kosa, Msando au Mahakama?
Huu mjadala siyo wa vijiwe samli! Unahitaji watu wanaojua sheria. Fanyeni favour basi kwa kutouteka ili watu wenye weledi watoe mchango! Ukisoma thread karibu yote watu hawana clue na mambo ya sheria lakini ndiyo wanaongoza kwa ubishi.
 
Huu mjadala siyo wa vijiwe samli! Unahitaji watu wanaojua sheria. Fanyeni favour basi kwa kutouteka ili watu wenye weledi watoe mchango! Ukisoma thread karibu yote watu hawana clue na mambo ya sheria lakini ndiyo wanaongoza kwa ubishi.
Mabush lawyer wengi sana humu wanang'ang'ania vitu ambavyo kisheria havipo
 
Mahakama iliyosikiliza hiyo kesi haikupaswa kusikiliza kesi inayozidi madai ya kiwango cha million 300 kisheria au haujapitia bandiko vyema mkuu !?
Sasa ni kosa la nani hapo
 
Aiseee kuna bush lawyers wengi sana humu.

Nakumbuka nilishawahi kuandika uzi humu na kutoa mapendekezo kwamba mambo ya kitaalamu kama utabibu na mambo yanayohusu sheria YASIMAMIWE NA MODERATORS ili kuhakisha watu hawalishwi matango mwitu!

Humu kila mtu ni daktari na mwanasheria!
 
We nae kwa kujitutumua!

Kazi za watu hizi we unaleta uanasheria wako wa mtandaoni!
 
Exactly my point, aliyefanya kosa ni hakimu na mahakama yake, akamatwe na afungwe kwa kukiuka sheria, mwanaFa kapeleka malalamiko na wakamsikiliza, yeye MwanaFa agomee kwamba wasisikilize?
So much ignorance on the comments section.
 
Nimesoma bandiko, sasa kama Mahakama iliyosikiliza hiyo kesi haikupaswa kufanya hivyo tena mpaka na hukumu ikatoa, hapo kosa ni la nani? Kwanini kina Mwana FA watishiwe kushikwa mali zao? Hapo ndipo nilipotaka ufafanuzi wa kina.
Walipokea pesa kimakosa na tigo wanazihitaji pesa zao,na kwa vile pesa walizopatiwa zitakuwa zimeshatumika itabidi mali zao zishikiliwe ili kufidia hizo pesa.
Sijui hapa umeelewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…