Kama ilivyo andikwa labda mahakama ya juu indengue uamuzi kwenye rufaaKwa hio imekuaje?
Hii ni bongo muvi tu, hapo tunachezewa tu, itakstwa rufaa,samia atashinda, huyo mwamba ajipange tu na maisha ya kitaaMahakama imemuelekeza Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kumrejesha Komanya Kitwala katika ajira yake.
Ni wa kumstaafisha utumishi wa umma kwa masilahi ya umma aliyekuwa Ofisa Sheria wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), Komanya Kitwala.
View attachment 2899036
Hipo ❌ ipo✔️mahakama hivi hipo kweli na ili wanasheria wa serikali wameshindwa kesi ?.aisee kumbe unaweza kuishtaki serikali mahakama za dunia ukashinda kwa serikali hii
Hakuna drama hapo. Hii ni hali halisi. Pamoja na madhaifu ya Kitwana, lakini inaonekana Rais alikurupuka kumstaafisha kwa manufaa ya umma. Kuna kesi hata majaji wenyewe wanaona aibu kupindisha.Drama tu za kufufua hadhi ya mahakama
Hii ni demoghasia....hii tunaitaje?
demokrasia au domokrasia?
au chuma imelamba chuma au pilipili imekwamia machoni..😀