Pale kwake Kigamboni hayuko kweli?? Sidhani kama huyu jamaa katoweka, wakati ana nyumba yake pale Kigamboni...
 
Dunia inazunguka ndugu zangu...leo hii Makonda anaishi kama panzi...

Tutende wema usitafute kutambuliwa, huo Wema utakutetea mbeleni.

Jambo moja tu litakalomtesa Makonda mpaka anakwenda Kaburini ni kumchapa kofi Mzee Warioba.
 
Kwa kuwa ANATUMIA KINGA ya Mwendazake KESI ITAFUTWA

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
nani kakwambia kuna kesi hapo?

Unadanganywa na kubenea?! haaahaaa.

hapo hakuna tofauti na alicho kifanya mzee Mbatia alipoenda kudai eti.. Ndugai hakujiuzulu bado ni spika!!....matokeo yake alibaki kushangaa mabenchi yalipo mahakamni. unpoteza muda na fedha zako bureeee kwa ujinga.

kabla ya kutenda kwanza tafakari matokeo ya unacho taka kukitenda.
 
Fingerprints nazo amefoji?Labda hajapitia kwenye vituo vya immigration. Au yupo nchini kizuzini.Au atajitokeza pale atakapobanwa na mkono wa sheria.

Fingerprints zenyewe unasajili line tatu sehemu tofauti na unapewa tu wala hawashtuki
Hivyo hivyo border unaweza pita tu
Sheria zetu ni legelege sana hakuna anaechukulia seriously

Njia nyingi pia za panya kama anataka kutoka
 
Watamtangaza kwa jina lipi! Daud Bashite au Paul Makonda na kama kesi ni ya Paul Makonda haendi mahakamani kwa sababu jina si lake, na kama Daud Bashite haendi mahakamani kwa sababu jina si lake.
 
JPM kawazidi sana. Kafa Lakini mnateseka sana kama ma x. JPM alikuwa Rais sio mchungaji au yesu au mtume. Kama kumbukumbu yangu iko Sawa. Makonda aliibuliwa bunge la Katiba. ( Sijui JPM alihusika)...
Wewe unprejudiced ndiyo inahitaji tiba kwa kuona kuwa ilikuwa kitu cha kawaida kwa Makonda kufanya aliyoyafanya na Mkuu wa Nchi akaona sawa tu.

Haijalishi Makonda alipita wapi kufikia kuwa DC hadi Magufuli anamkuta, kimsingi ni namna alivyomtumia MAKONDA kutekeleza vitendo viovu vya kuua, kuteka, kutesa na kudhulumu mali za watu.

Kama unaona hiki kitu ni sawa basi wewe ni mlemavu wa akili.
 
Mtu aliekuwa anashangaa kwa nini askari polisi wanaendesha starlets, spacio na vits anatafutwa. Kweli usijipandishe juu ukawadharau wengine
 
Na lazima atatokea shujaa mwingine kama Kubenea wa kutaka kujua uchunguzi uliishia wapi.
Bashite hawezi pumua kaamuza wengi hata kubenea akishindwa watainuka wengine
 
Bashite katulia Tuli anawazoom tu mahakama walivyo wajinga wanajisumbua kwake

 
angekua above the law mahakama isingetoa hati hiyo ,ujue asipoudhuria tena mahakamni itaonekana ameidharau mahakama na mahakama itatoa warrant of arrest.
Mlikuwa mnamdanganya hivyohivyo mfungwa sabaya
mtakuja kukimbia post zenu hapo baade
kuhusu mataga mwenzangu sabaya alizingua mwenyewe, alimdharau saa 100, comrade Bashite yeye ni rafiki wa Mama, Sabaya tungekuwa naye leo tunakula pesa za chama lakini yeye kiburi kilimponza, lakini hata hivo bado analindwa si unaona mali zake mpaka leo hazijauzwa wala kutaifishwa
 


Hii ndio habari inayozunguka kwa sasa nchi nzima .

Bali watoa Tangazo hilo wamesahau kuweka dau ambalo atalipwa atakayewezesha Makonda kupatikana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…