Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Ukitaka kujua kwa nini magufulists hawampendi samia ni kwa mambo kama haya. Wapwani ndio wafanyaji wakubwa wa madawa ya kulevya.
Mama anaacha aliyekua mtumishi mwakilishi wa rais mkoa wa dar kunyanyasika na kubakia katika hali ya mashaka kwa kazi aliyofanya kupambana na dawa za kulevya. Ni kisasi tu wala sio lingine.
Ule ni MCHONGO wenu UVCCM huko.Na wale wanaotaka kuifanya nchi istawalike na wenye nia ya kuchoma vituo vya mafuta kama Mbowe, Lema, na Mbowe.
Nobody has the guts to put this dude under arrest. So far, he’s still untouchable.
Fingerprints nazo amefoji?Labda hajapitia kwenye vituo vya immigration. Au yupo nchini kizuzini.Au atajitokeza pale atakapobanwa na mkono wa sheria.Kama aliweza kufoji cheti atashindwa kufoji passport?
Hela kila kitu wala tusidanganyane
Utumishi una ethics zake sasa kama alienda against ethics aachwe.Ukitaka kujua kwa nini magufulists hawampendi samia ni kwa mambo kama haya. Wapwani ndio wafanyaji wakubwa wa madawa ya kulevya.
Mama anaacha aliyekua mtumishi mwakilishi wa rais mkoa wa dar kunyanyasika na kubakia katika hali ya mashaka kwa kazi aliyofanya kupambana na dawa za kulevya. Ni kisasi tu wala sio lingine.
Subiri kidogo, si kawaida ya mahakama kukurupuka, anachokifanya makonda watu wengi jeuri hufanya hivyo lkn mahakama ulazimika kufuata sheria.Kubenea hana nguvu dhidi ya Makonda ndio maana hata mahakama haiangaiki nae
Hulazimika kufata sheria dhidi ya nani? Leo hii kaandikishe hati kuwa RC kakuchomea kibanda chako halafu uone kati yako na RC nani atakuwa na nguvu mahakamaniSubiri kidogo, si kawaida ya mahakama kukurupuka, anachokifanya makonda watu wengi jeuri hufanya hivyo lkn mahakama ulazimika kufuata sheria.
Na ona umesahau kuliorodhesha na lile la clouseUkitaka kujua kwa nini magufulists hawampendi samia ni kwa mambo kama haya. Wapwani ndio wafanyaji wakubwa wa madawa ya kulevya.
Mama anaacha aliyekua mtumishi mwakilishi wa rais mkoa wa dar kunyanyasika na kubakia katika hali ya mashaka kwa kazi aliyofanya kupambana na dawa za kulevya. Ni kisasi tu wala sio lingine.
wa kwako uko sawa na hao wanaoomba magazeti yamtafute!!Ubongo wako mdogo sana na uelewa wako upo chini sana
Amesaidiwa kutoroka na serikali hiyo hiyo Hanghigher asingekubali kipenzi chake atafunwe! Discrimination- Sabaya alishughulikiwa na serikali- Makonda analindwa na serikali.Paulo Makonda, kiongozi wa serikali aliyekuwa anatamba sana kuwa yeye ANAKULA RAHA SANA kuliko wengine ametoweka.
Ametafutwa kupewa summons ya Mahakama ya Kinondoni bila mafanikio, haijulikani kama kajificha kwa mganga wa kienyeji au kavuka mipaka na kukimbilia nje ya nchi...
Huyo itabidi akimbilie kijijini kwao akajifiche, aliharibu hadi wamarekani wana hamu naye.