Asante kwa ufafanuziUnapata fedha Haramu (mfano za kupora benki, madawa ya kulevya, dili serikalini n.k) halafu unatumia Miradi halali (mfano unaanzisha biashara ya night club, kiwanda) kupumbaza Umma wasijue hela umetoa wapi.
Hiyo ndiyo kutakatisha fedha
Asante mkuuUtakatishaji fedha au Money laundering kwa kifupi ni kuchukua mapato yatokanayo na biashara haramu kama uuzaji wa dawa za kulevya, Silaha ama kusafirisha binadamu nk na kuyaingiza mapato hayo kwenye mfumo halali wa uchumi wa nchi kwa kufanya biashara halali
Mo juzi tu kafunga kiwanda chake cha mafuta ya kula,nae kishaanza kuisoma nambaWacha tumuharakishie mo mapema kumkabidhi timu
Unapochukua hela ya wizi ama ela yoyote ambayo haina maelezo ya umeipataje ama ela yoyote ambayo ni nyingi kupita vyanzo vyako vya mapato na kuiingiza kwenye mzunguuko wa hela mfano kununua viwanja, ama kuziweka fedha bank n.k (hiyo ndio kutakatisha fedha na kiufupi kuifanya ela haramu kuwa halali).....kuhusu walifanyaje kwenye kutakatisha hizo fedha hapo sijui ngoja wajuzi wa mambo waje ila unaweza ukabofya kwenye link hapo chini;Hivi "utakatishaji fedha" ndio nini?wajuzi tusaidieni maana hata sielewi hawa jamaa walifanyeje?
Huu uonevu wa serkali
Aliwahi kumlipisha mkulu akiwa waziri wa usafirishaji
ilikuwa pale kibaha mizani kila magari yake yakipita yanaambiwa yamezidi mzigo mkubwa ikaenda hivyo miaka kibao siku moja wakacheza bonge la issue wakafunga vzr malori kama nane hivi na documents zikionyesha kuwa wamebeba mzigo yalipofika mizani wakaambiwa kama kawaida kuwa mzigo umezidi
Basi wakabiwa waache magari hapo atakuja mwenyewe kesho wakaacha document na funguo za magari yote
Oooooooh kesho kaenda pale mizani akasomewa mashitaka akalipa wakati wanamkabidhi akasema ngoja ahakikishe mzigo lallalallalaallalalalalala yeye akijua kabisa kuwa hakuna kitu alifungua na wao wakiwepo gari hazina kitu kesi yake ilikuwa si mchezo serikali ikalipa pakubwa sana
Jamaa aliyepata ukulu kwa shida anakisasi sio kidogo
Safi sana mkuuUtakatishaji fedha au Money laundering kwa kifupi ni kuchukua mapato yatokanayo na biashara haramu kama uuzaji wa dawa za kulevya, Silaha ama kusafirisha binadamu nk na kuyaingiza mapato hayo kwenye mfumo halali wa uchumi wa nchi kwa kufanya biashara halali