Mahakama yatoa hati ya kumkamata Zacharia Hans Poppe, kuunganishwa kesi ya utakatishaji fedha

Mahakama yatoa hati ya kumkamata Zacharia Hans Poppe, kuunganishwa kesi ya utakatishaji fedha

Unapochukua hela ya wizi ama ela yoyote ambayo haina maelezo ya umeipataje ama ela yoyote ambayo ni nyingi kupita vyanzo vyako vya mapato na kuiingiza kwenye mzunguuko wa hela mfano kununua viwanja, ama kuziweka fedha bank n.k (hiyo ndio kutakatisha fedha na kiufupi kuifanya ela haramu kuwa halali).....kuhusu walifanyaje kwenye kutakatisha hizo fedha hapo sijui ngoja wajuzi wa mambo waje ila unaweza ukabofya kwenye link hapo chini;
Makosa 5 yanayowakabili Rais wa Simba Evans Aveva na Makamu wake G.N. Kaburu
Barikiwa mkuu,nimeelewa sasa
 
Haya maisha nimejifunza kitu kikubwa sana. Nikiwaonaga akina Hans Pope na mandinga yao wanapiga misele twn nasemaga kuna watu wamebarikiwa wanakula raha hivi why me. Kumbe mwenyezi Mungu ana makusudi na mm kunipa maisha yenye amani tele. ona sasa Hans Pope anaenda kukaa Lupango sijui mpaka lini
 
Z Hans Poppe ana hotel kubwa sana katikati ya jiji la Iringa, sijui ataihamisha vipi, labda aiuze. Yale Maroli ya mafuta nina muda cjayaona, cjui keshayahamisha!
Huyu ndo alikuwa target ya JIWE.Aligombana naye kipindi kile cha malori.Hanspope akishakaa jela zaidi ya miaka 10 kwa uhaini.Alitoka kwa msamaha wa rais,anarudi alikotoka.
 
Kuonguza pesa zilizopatikana kwa njia isiyo halali katika matumizi ya kawaida ya pesa mfano,kutumia pesa ulizopata kwa kuuza madawa ya kulevya ukaziweka benki,ukanunulia gari ama nyumba au kulipa deni.Pia kulipia kitu chochote kwa kutumia pesa bandia.Hayo yoootee,ni kutakatisha pesa.Hawa walikuwa wanaiba pesa za Simba wanaingiza kwenye akaunti tofauti na ya Simba halafu wanazitoa kanafanya kuwa zao binafsi.
Duu!ndio viongozi wa soka tulio nao Tanzania
 
Haya maisha nimejifunza kitu kikubwa sana. Nikiwaonaga akina Hans Pope na mandinga yao wanapiga misele twn nasemaga kuna watu wamebarikiwa wanakula raha hivi why me. Kumbe mwenyezi Mungu ana makusudi na mm kunipa maisha yenye amani tele. ona sasa Hans Pope anaenda kukaa Lupango sijui mpaka lini
Hanspope alishatiwa hatiani kwa uhaini na kufungwa.kama ni shida anazijua na baba yake alitandikwa risasi na majeshi ya Idd Amin .Alikuwa RPC wa Kagera.
 
Huyu ndo alikuwa target ya JIWE.Aligombana naye kipindi kile cha malori.Hanspope akishakaa jela zaidi ya miaka 10 kwa uhaini.Alitoka kwa msamaha wa rais,anarudi alikotoka.
Ayaa! Kama ni kweli, Hans Hachomoki...
Hans Poppe wa TATOA amchambua Magufuli

Ayaa.png
 
Nchi ya visasi .......badala ya kufokasi namna gani wataacha alama ya upendo na maendeleo baada yao ....Wao wanahangaika namna ya kuacha vidonda kwa wabaya na mahasimu wao
Rejea kwa viongizi km Mzee Mwinyi alivyotuacha na tunavyompokea kila anapotokea kwenye halaiki .Jk nae ameacha alama japo mapokezi makubwa anayapata km bezo kwa huyu

Mtumwa akipewa ufalme
 
Serikali bwana, kila mahalai inatia mguu...ni mwendo wa visasi tu
 
Leo mahakama ya Kisutu imetoa hati ya kukamatwa au kujisalimisha mwenyewe katika kituo chochote cha Polisi au kwenda Mahakamani kwa Mwenyekiti wa usajili wa klabu ya Simba Zacharia Hanspope katika kesi ya utakatishaji wa Fedha (Uhujumu Uchumi),pamoja na Mwenyekiti wa Evancy Aveva na makamu wake Geofrey Nyange.Zacharia naye ameonekana anakesi ya kujibu katika shitaka hilo la utakatishaji wa Fedha.

Source:Mimi mwenyewe nipo Kisutu Mahakamani
 
Back
Top Bottom